Nimefuatilia uapisho huu wa Waziri Mkuu na jambo moja limejionyesha wazi kuliko yote, ni sura za wageni waalikwa, na hata za viongozi waliokuwa karibu naye, hazikuakisi ile furaha ambayo kawaida huambatana na tukio la kihistoria kama hili.
Wageni wengi walionekana wakiwa na nyuso zilizokosa...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Mpogole Kusiluka, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atamuapisha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb.) kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa...
Rais Samia, amelipendekeza jina la Dr. Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Uteuzi huo unafanyika kufuatia taratibu za kikatiba ambapo jina la mgombea huwasilishwa kwa Bunge la Tanzania ili kupigiwa kura na wabunge.
Baada ya pendekezo hilo, wabunge watapiga kura...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.