mwenyekiti wa uwt

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    GE2025 Mwenyekiti wa UWT: Hatutaki Pesa, tunataka Maendeleo

    Maoni ya wajumbe mbalimbali kuelekea Uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Akijibu kuhusu swali la wajumbe kuwa vigeugeu Mary Komba, Mwenyekiti wa UWT Tawi la Biyuda, Kinondoni amesema "Ni kweli wajumbe tunakuwa vigeugeu na tunatamani kubalika na wajumbe mwaka huu tusiangalie pesa tuangalie maendeleo"...
  2. PAYE

    GE2025 Mary Chatanda (UWT) awataka Wanawake kujitokeza kwa wingi kushiriki Uchaguzi 2025

    Mwenyekiti wa UWT Taifa Mary Pius Chatanda (MCC) tarehe 27 Juni, 2025 amewataka Wanawake wote Nchini Tanzania kuitumia fursa hii ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 kujitokeza Kwa wingi kwenda kugombea nafasi mbalimbali za uongozi udiwani, Ubunge kwenye majimbo na Viti Maalum, amesema Chama Cha...
Back
Top Bottom