mwenyekiti wa mtaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    Mdude Katekwa, mjumbe, mwenyekiti wa mtaa na mbunge wa Jimbo lake walipaswa kuwa mstari wa Mbele kupigania upatikanaji Wake.

    Sabato Njema! Waafrika wengi ni rahisi kuwaonea na kuwadhulumu kwa sababu hawana umoja. Hawapendani. Uoga mara nyingi husababishwa na kutokuwa na upendo wa dhati. Kama Watanzania wangekuwa wanapendana Kwa dhati yote. Kusingekuwa na msamiati watu wasiojulikana. Watu wasiojulikana ni matokeo ya...
  2. sonofobia

    Ntobi: Heche hawezi kuwa hata mwenyekiti wa mtaa

    Ntobi, mwenyekiti wa Chadema mkoa wa shinyanga na Kijana mtiifu wa Mbowe ameendelea kushambulia wasiomuunga mkono Mbowe. Safari hii anasema kuwa John Heche hawezi kuwa hata mwenyekiti wa mtaa. Heche ambaye amewai kuwa mwenyekiti wa bavicha taifa, diwani na mbunge. Kwa sasa vijana wa Mbowe...
  3. Waufukweni

    LGE2024 Makambako: Mwenyekiti wa Mtaa kupitia CHADEMA aahidi ushirikiano na Wananchi Mangula

    Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Mangula, Halmashauri ya Mji wa Makambako, Sunday Chungwa, kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ameahidi kushirikiana kwa karibu na wananchi wa mtaa wake ili kuhakikisha maendeleo ya pamoja. Chungwa alisisitiza kuwa ushirikiano kati ya viongozi na...
Back
Top Bottom