mwenyekiti uwt

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    PostGE2025 Mwenyekiti UWT Njombe: Kwenye vurugu hapakosi bahati mbaya, vijana wetu walikosea Oktoba 29, lakini Mama yuko imara hadi 2030

    Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Njombe, Beatrece Malekela, Januari 24, 2026 wakati wa kikao cha Baraza la UWT Wilaya, amesema; "Wako wapendwa wetu wengi walipoteza Maisha kwenye vurugu zile zilizojitokeza Oktoba 29, Lakini Kwenye Vurugu hapokosi bahati mbaya, Vijana wetu walikosea lakini kama...
  2. Just Pray

    PreGE2025 Mwenyekiti UWT Njombe asema watailinda CCM kwa gharama yoyote ile kama Simba na Yanga

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Njombe, Dkt. Scholastika Kevela, amewataka wanawake kote mkoani humo kujiandaa kwa uchaguzi mkuu ujao, akisisitiza kuwa chini ya serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), hakuna atakayeweza kuvuruga mchakato wa uchaguzi. Dkt. Kevela...
  3. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mwenyekiti UWT Taifa: Lissu asiitishie serikali ya CCM "atulizane"

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa, Mary Pius Chatanda amewataka Watanzania kuyapuuza maneno ya Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu na wawe na imani na Serikali ya Chama Cha Mapinduzi. Pia soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote...
  4. Stephano Mgendanyi

    Mwenyekiti UWT Taifa Aongoza Kongamano la Mafunzo ya Matokeo ya Sensa

    MWENYEKITI WA UWT TAIFA AONGOZA KONGAMANO LA MAFUNZO YA MATOKEO YA SENSA, KAHAMA, SHINYANGA Mwenyekiti wa Jumuiya ya Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Komredi Marry Pius Chatanda ameongoza Kongamano la Mafunzo ya Matokeo ya Sensa kwa Makundi...
Back
Top Bottom