mwenyekiti cuf

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    Ngulangwa awania umakamu mwenyekiti CUF

    Aliyekuwa Mkurugenzi wa Mawasilino wa CUF, Mohamed Ngulangwa amejitojitokeza kuwania nafasi ya umakamu mwenyekiti wa CUF katika uchaguzi wa marudio wa chama hicho ulioamuliwa na Msajili wa vyama vya Siasa. Februari 13, 2026 Msajili wa Vyama Vya Siasa alitengua ushindi wa Profesa Lipumba na safu...
  2. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mwenyekiti CUF wilayani Handeni aibukia CCM

    Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi,(CUF) wilayani Handeni mkoani Tanga Hilary Kitwanga ametangaza kuhama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi,(CCM). Akizungumza kwenye kikao cha halmashauri kuu ya CCM wilaya ya Handeni kilichofanyika leo Jumamosi April 19,2025 kwenye ukumbi wa mikutano...
  3. W

    PreGE2025 Profesa Lipumba anadai hakutaka kuendelea na Uenyekiti baada ya miaka 25 ila wanachama walimlazimisha

    Mwenyekiti wa chama cha CUF, Prof Lipumba bhana alipokuwa akifanya mahojiano na Wasafi Tv ameeleza kuwa hakutaka kabisa kuendelea na suala la uenyekiti wa CUF Taifa baada ya kuongoza kwa miaka 25 lakini wananchama wakamlazimisha na kisha wakamchukulia fomu na wakairudisha kwa niaba yake. Soma...
  4. Waufukweni

    PreGE2025 Profesa Lipumba achaguliwa tena mwenyekiti CUF, aweka historia

    Matumaini na imani ya wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF), yamebaki vile vile kama ilivyokuwa miaka 25 iliyopita, baada ya kumchagua tena Profesa Ibrahim Lipumba kuwa mwenyekiti wao taifa. Profesa Lipumba anaukwaa wadhifa huo, baada ya kupata kura 216 katika uchaguzi wa ndani wa chama hicho...
Back
Top Bottom