mwenyekiti chadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PAYE

    PostGE2025 Mwaipaya: Polisi wenye silaha za moto wamevamia nyumbani kwa mwenyekiti CHADEMA Kyela, waondoka naye kusikojulikana

    Usiku wa kuamkia leo (Novemba 20) watu waliojitambulisha kuwa ni Askari polisi wakiwa na silaha za moto wamevamia nyumbani kwa mwenyekiti wa Wilaya ya Kyela (CHADEMA), VICTORIA SWEBE na kuondoka naye kusiko julikana. Tunaendelea kufuatilia zaidi na tunalitaka jeshi la polisi Kyela, Mbeya...
  2. McLaren

    Wakuu, hivi Mbowe yuko wapi?

    Wakuu, Nisiwachoshe na salamu maana nchi iko kwenye maaombolezo Nilikuwa nataka tu kujua aliyekuwa Mwwenyekiti wa CHADEMA, Mbowe yuko wapi? Sijaona akipost chochote kuhusu Watanzania waliouwawa kinyama siku ya maandamano wala kuzungumzia how tense the political atmosphere ilivyo kwa sasa...
  3. Just Pray

    GE2025 Mwenyekiti CHADEMA Arusha: Mbowe atoke hadharani na aseme 'No reforms No election'

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Arusha, Elisa Mungure, ametoa wito kwa Mwenyekiti Mstaafu wa chama hicho ngazi ya taifa, Freeman Mbowe, kujitokeza hadharani na kuunga mkono kaulimbiu ya chama ya “No Reforms, No Election”, kwa kuwa ndiye mwanzilishi wa msimamo...
  4. Just Pray

    PreGE2025 Tunahitaji wabunge wanaotambua kuwa wajibu wa kikatiba wa bunge ni kuisimamia na kuishauri Serikali, sio kuishangilia au kuimba mapambio kwa serikali

    Leo nimeikumbuka kauli ya aliyekuwa mbunge wa Singida Mashariki, ambaye kwa sasa ni mwenyekiti wa CHADEMA aliyeko Korokoroni Tundu Lissu ambaye alisema wajibu wa kikatiba wa bunge ni kuisimamia na kuishauri Serikali, Wajibu wa bunge sio kuishangilia au kuimba mapambio kwa serikali kama ilivyo...
  5. W

    PreGE2025 CHADEMA imeazimia kutofuata maagizo ya Msajili wa vyama vya siasa. No reforms No election kuchanja mbuga

    https://www.youtube.com/live/wUVtQ2kDck8 Makamu Mwenyekiti wa Chama Bara John Heche ni mgeni rasmi katika kongamano la wasomi wa Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Dar Es Salaam. Pamoja na mambo mengine ataeleza maazimio ya Kamati Kuu ya Chama kilichoketi kwa siku mbili Makao Makuu ya Chama tarehe 23...
  6. Ojuolegbha

    Vyombo vya habari vinaua CHADEMA kwa kuripoti wanaohama — asema Heche, Makamu Mwenyekiti CHADEMA bara

    VYOMBO VYA HABARI VINAUA CHADEMA KWA KURIPOTI WANAOHAMA — ASEMA HECHE, MAKAMU MWENYEKITI CHADEMA BARA Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Mheshimiwa John Heche, ameibua hoja nzito inayolenga mahusiano ya vyombo vya habari na vyama vya siasa, akidai kuwa baadhi ya vyombo vya habari vinahujumu...
  7. Ojuolegbha

    GE2025 John Heche: CHADEMA haileti Wanaharakati Kutoka nje, LHRC ndio inawaleta

    CHADEMA HAILETI WANAHARAKATI KUTOKA NJE, LHRC NDIO INAWALETEA — ASEMA HECHE, MAKAMU MWENYEKITI CHADEMA BARA Katika mkutano uliojaa msisimko wa kisiasa uliofanyika leo Mei 23, 2025, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Mheshimiwa John Heche, ameweka wazi msimamo wa chama hicho kuhusu tuhuma...
  8. Just Pray

    PreGE2025 Lembruce Mchome licha ya kuonekana mkutano wa CHAUMMA, asema bado ni Mwenyekiti CHADEMA adai, Akidi haikutimia kumvua uanachama

    Wakuu Lembruce Mchome, anasema yeye ataendelea kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wilaya ya Mwanga, kwa sababu idadi ya watu iliyotakiwa kumvua uanachama haikutimia.
  9. Just Pray

    PreGE2025 Mwenyekiti CHADEMA kanda ya serengeti akieleza mwanzo mwisho walipopelekwa porini kupigwa

    Lucas Ngoto Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Kanda ya Serengeti ni miongoni mwa walikamatwa nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar Es Salaam wakati akitaka kuhudhuria mahakamani hapo kwa ajili ya kusikiliza kesi zilizokuwa zinamhusu Mwenyekiti wa chama hicho...
  10. Just Pray

    PreGE2025 Mwenyekiti CHADEMA Serengeti: Tuliambiwa omba Mungu, jikabidhi kwa Mungu, tukaanza kupigwa kipigo cha Mbwa koko, kama vile hawapigi binadamu

    "Tulipofika kwenye vichaka wakamshusha dada Pendo wakaanza kumpiga, kuna askari mmoja alikuwa na nyota kama mbili akaanza kumpiga Pendo kama anaua nyoka na wengine wote tukaambiwa shuka kwenye gari vua viatu ficha uso, na kama unaweza kuomba Mungu omba Mungu, jikabidhi kwa Mungu, tukavua viatu...
  11. figganigga

    PreGE2025 Baada ya kukamatwa Kisutu, Naibu Katibu Mkuu CHADEMA-Zanzibar apatikana, adai kupelekwa Pori la Mabwepande na kupigwa sana

    Makamu Mwenyekiti Zanzibar Mhe. Said Mzee Said, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Ali Ibrahim Juma na wengine 10 wakiwemo waandishi wanne walikuwa wamekamatwa mapema leo wameachiwa maeneo ya pori la Mabwepande, Kawe wakiwa wamepigwa na kuumizwa sana na Jeshi la Polisi. Wameumizwa sana na sasa...
  12. K

    PreGE2025 Mwenyekiti CHADEMA - Simiyu akamatwa na Askari baada ya kuachiwa huru Mahakamani

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Simiyu, Mussa Onesmo anadaiwa kukamatwa na Askari wa Jeshi la Polisi akiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Simiyu ambako alikwenda kusikiliza shauri lililokuwa linamkabili Mahakamani hapo. Kwa mujibu wa Wakili wake, Alex...
  13. and 998 others

    Heche ndo Kaimu Mwenyekiti CHADEMA kwa SASA! Ndo hatari zaidi

    1. Huyu Mkurya ndo Moto pengine kuliko Bryson! 2. Aisee kwann hawa watu hafanyi risk assessment? Heche ni Moto na haogopi pia Hatumii mihemko kama Bry!
  14. Dr Matola PhD

    Sikumuelewa Lissu na wala sikumuunga mkono awe Mwenyekiti lakini sasa nakubaliana naye 100%

    Waliosema muda ni mwalimu mzuri wala hawakukosea, wakati wa mchakato wa kumpata mwenyekiti wa Chadema sikutaka Lisu ashinde niliunga mkono Mbowe atosha. Lakini kama unavyojuwa muda sasa unaongea kumbe siasa za maridhiano ni mradi wa watu wachache chamani huku Watanzania wengi wakiendelea...
  15. Just Pray

    PreGE2025 Mwenyekiti CHADEMA mkoa wa Tabora akana kuhusishwa na G-55 'sikuwahi kuweka saini kwenye waraka huo'

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Tabora, James Kabepele, amekanusha kuhusika na waraka wa vuguvugu la G55 linalodaiwa kupinga kampeni ya No Reforms No Election, akisisitiza kuwa hakuwahi kuweka saini kwenye waraka huo wala kuonesha nia ya kugombea jimbo lolote...
  16. W

    PreGE2025 Makamu Mwenyekiti CHADEMA Zanzibar asema Chama chao hakiwezi kufa kwa njama za CCM na serikali yake

    Makamu Mwenyekiti CHADEMA TAifa upande wa Zanzibar, Said Mzee ameeleza kuwa Chadema haiwezi kufa kwa hila za CCM, aidha amewapongeza watia nia waliojitokesza katika mkutano huo wa kuwajengea uwezo kuhusu ajenda ya No reforms No election. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
  17. CM 1774858

    PreGE2025 Wassira: CHADEMA walisema Mwenyekiti INEC asiteuliwa na Rais tukakubali, wakasema maDED wasisimamie Uchaguzi tukawatoa leo tena No Election No Reform

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira amesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo hakina hoja ya msingi ya kuzuia Uchaguzi Mkuu mwaka huu kwani kama ni mabadiliko wanayoyazungumza yameshafika tayari. Amesema CHADEMA wao wanasema hawataki uchaguzi mpaka yafanyike...
  18. Waufukweni

    PreGE2025 LGE2024 Rukwa: Lissu amtangaza Mwenyekiti wa Kijiji cha Ntalamila (CHADEMA) kama mshindi, baada ya Tume kutomtangaza

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Antiphas Lissu ameamua kumtangaza aliyekuwa mgombea wa nafasi ya uenyekiti katika kijiji cha Ntalamila wilayani Nkasi mkoani Rukwa, ikidai kuwa alishinda katika uchaguzi huo na hakutangazwa Kupata taarifa na matukio yanayojiri...
  19. M

    Akiwa Uganda, Tundu Lissu akosoa vikali viongozi wa Afrika kwa kujilikimbizia madaraka. Amtaja Museveni na Mwalimu Nyerere

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amewakosoa vikali wanasiasa na viongozi wa Afrika kwa tabia yao ya kung'ang'ania madaraka kwa maslahi binafsi.Akizungumza katika kikao cha kujadili masuala ya demokrasia barani Afrika katika Kitivo cha Sheria, Chuo Kikuu cha...
  20. Mindyou

    Picha: Viongozi wa CHADEMA wakiongozwa na John Heche wafika nyumbani kwa Marehemu Philemon Sarungi kutoa faraja kwa familia

    Wakuu, Leo tarehe 06 Machi 2025 Makamu Mwenyekiti Bara wa CHADEMA John Heche na Naibu Katibu Mkuu Bara Amani Gulogwa wamefika nyumbani kwa marehemu Prof. Phillemon Mikol Sarungi kutoa pole kwa familia. Prof. Phillemon Mikol Sarungi amefariki jana tarehe 05 Machi 2025.
Back
Top Bottom