mwenyekiti adc

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    GE2025 Mwenyekiti wa ADC Shaban Itutu: Kauli ya Rais Mstaafu Kikwete ya 'Pumba na Mchele' inakejeli Upinzani na kuumiza Demokrasia, ajitokeze aombe radhi

    Mwenyekiti wa Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) Taifa, Shaban Itutu, amemtaka Rais mstaafu wa Tanzania na Mwenyekiti mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, kuomba radhi kwa umma wa Watanzania kutokana na kauli yake kuhusu ushindi wa CCM katika uchaguzi...
  2. R

    GE2025 Mwenyekiti wa ADC Shaban Itutu: Tumeamua mwaka huu kila tunapotembea tutakuwa tunachinja Ng`ombe, tunataka tutoke draw na waliopeleka baiskeli

    Mwenyekiti wa Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Shaban Itutu, amehoji uwiano wa mamlaka kati ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa na Tume Huru ya Uchaguzi, akisema kuna mgongano unaoweza kuathiri haki na uwazi wa uchaguzi. Akizungumza Agosti 18, 2025, katika Mafunzo kuhusu...
Back
Top Bottom