mwauwasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Maji yaayosambazwa na MWAUWASA ni ya kuchimba?

    Mambo Mengine Ni ya Aibu Sana Mpaka 2026,Mkoa Wa Mwanza Uliozungukwa na Ziwa Victoria Kupata Huduma ya Maji ya Haba na Haba, Kama Mkoa ulio Mkabala na Ziwa Maji yanatoka mala 2 kwa Wiki Je Mikoa Ambayo iko Mbali na Ziwa Huduma Hii Muhimu Si ndo hovyo Zaidi, Mkishindwa Kutimiza Wajibu Muwe Na...
  2. S

    JamiiForums Tanzania KERO Baada ya ziara ya Waziri wa Maji, Wakazi wa mtaa wa Ellys Hoteli Nyegezi na maeneo jirani tunaendelea kukosa maji

    Jamani MWAUWASA, mnashida gani? Wakazi wa Mtaa wa Ellys Hotel, Nyegezi – Mwanza, pamoja na maeneo ya jirani kama Stendi ya Nyegezi na Kumalija, tumekosa maji kwa takribani mwezi mmoja sasa. Hii si hali ya kuvumilika tena. Msifanye kazi kwa mazoea wala kusubiri hadi Waziri aje ndipo wananchi...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Nyamhongolo, tunapitia shida kubwa ya maji, ni wiki ya 3 maji hayatoki na MWAUWASA hatuambiwi tatizo ni nini?

    Wakazi wa Nyamhongolo (Nyangugano) sasa tunapitia shida kubwa ya maji kwa mara nyingine, hii sasa ni wiki ya tatu hatupati huduma ya maji kutoka MWAUWASA. Tangu 27/7/2026 mpaka leo 13/8/2026 hatupati maji, na kibaya zaidi hatuambiwi tatizo ni nini. Wamekaa kimya tu, tumejaribu kuwapigia...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Nyamhongolo, sasa tunapitia shida kubwa ya maji. Hii ni wiki ya tatu hatupati huduma ya maji kutoka MWAUWASA

    Wakazi wa Nyamhongolo(Nyangugano), sasa tunapitia shida kubwa ya maji Kwa mara nyingine, hii sasa ni wiki ya tatu hatupat huduma ya maji kutoka MWAUWASA, tangu 27/7/2026 mpaka Leo hii 13/8/2026 hatupati maji. Kibaya zaid hatuambiwi tatizo ni nini, wamekaa kimya tu tumejaribu kuwapigia wanasema...
  5. O

    JamiiForums Tanzania Aweso awasimamisha kazi Viongozi wa MWAUWASA, asema mafundi wamejaa rushwa

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso amewasimamisha kazi viongozi Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) kutokana na huduma ya maji kuwa changamoto huku akimuacha Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka hiyo, Nelly Msuya ambaye anatarajiwa kukamilisha majukumu yake wiki mbili zijazo. Aweso...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mwanza kuna shida kubwa sana ya maji, na MWAUWASA hawafanyi kitu chochote

    Mwanza tuna shida kubwa ya maji ambayo imekuwa ikidumu kwa miaka mingi, lakini haiongelewi kabisa. Kwa mfano, maeneo ya Kirumba, maji hutoka mara moja tu kwa wiki, na mara nyingi hutoka usiku wa manane. Mbaya zaidi, bili za maji zinakuwa kubwa kwa sababu tunalazimika kuacha mabomba wazi kila...
  7. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO wakanusha taarifa ya MWAUWASA kuhusu upungufu wa maji Mwanza

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limekanusha madai yaliyotolewa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) kwamba changamoto ya upatikanaji wa maji katika baadhi ya maeneo ya Jiji la Mwanza imesababishwa na kukosekana au kuyumba kwa huduma ya umeme kwenye mitambo ya...
  8. JamiiForums Tanzania MWAUWASA au TANESCO mmoja wenu analeta drama kwenye ishu serious!

    Kuna member alileta uzi humu kwamba maji yanasumbua Mwanza, na MWAUWASA wakaja na kiteteo kwamba umeme unasumbua na wako wanashirikiana na TANESCO kusolve. MWAUWASA: Kukosekana kwa huduma Uzalishaji na Usambazaji wa Maji Mwanza imetokana na hitilafu ya umeme Hafu leo TANESCO nao wanakataa...
  9. JamiiForums Tanzania Mwauwasa wanatumika kisiasa

    Kukitangazwa TU maandamano basi wao huanza kusitisha huduma ya maji kwa kusingizia TANESCO..Lengo lao kuwatia hasira wananchi waichukie serikali Yao Kisha watoke waandamane .. Walianza hii michezo tokea mwaka Jana kuelekea uchaguzi mkuu... Hapo TANESCO wamekanusha kuhusika
  10. JamiiForums Tanzania Responded MWAUWASA: Kukosekana kwa huduma Uzalishaji na Usambazaji wa Maji Mwanza imetokana na hitilafu ya umeme

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imetangaza kuwepo kwa upungufu wa uzalishaji na usambazaji wa maji kwa wakazi wa Jiji la Mwanza kutokana na hitilafu ya umeme katika vituo vya uzalishaji na usambazaji wa maji. Kwa mujibu wa taarifa hiyo iliyotolewa Juni 9, 2026, hali...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka ya maji Mwanza (MWAUWASA) watuambie kama kuna mgao wa maji Nyakato

    Upatikani wa maji safi katika jiji la Mwanza maeneo ya Nyakato umekua usioridhisha kwa muda wa wiki mbili sasa. Kuna siku maji hayapatikani hata siku tatu. Kuna siku yanakuja asubui na kukatika mchana. Kipindi hiki cha sikukuu maji yamekuwa yakija na kukatika. Tangu jana siku ya Eid maji...
  12. T

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka ya Maji Mwanza (MWAUWASA) wajibikeni, Nyegezi na viunga vyake kukosa maji imekuwa tatizo sugu

    Kukosekana kwa huduma ya maji katika maeneo ya Nyegezi na viunga vyake kumegeuka kuwa tatizo sugu na la kudumu, linalojirudia kila mara bila ufumbuzi wa msingi. Tangu sikukuu ya Krismasi hakuna maji, hali ambayo imewaweka wananchi katika adha kubwa ya maisha ya kila siku. Licha ya kurudiarudia...
  13. T

    JamiiForums Tanzania KERO MWAUWASA imewaangusha wakazi wa Mwanza tatizo la maji limegeuka fedheha ya kudumu

    Kile kinachoendelea Mwanza si hitilafu ya kawaida, bali ni aibu ya wazi, uzembe wa makusudi na kutowajibika kwa kiwango cha juu kabisa kutoka MWAUWASA. Mwezi mzima uliopita Nyegezi haikuwa na tone la maji. Hakuna taarifa, hakuna maelezo, hakuna uwajibikaji—mpaka wananchi walipopiga kelele ndipo...
  14. T

    JamiiForums Tanzania KERO MWAUWASA, tunaomba taarifa ya haraka. Kwa takribani mwezi mzima Yengezi yote hakuna maji

    MWAUWASA, tunaomba taarifa ya haraka. Kwa takribani mwezi mzima Yengezi yote hakuna maji, na sasa tatizo limejirudia tena bila maelezo yoyote kutoka kwenu. Wananchi tunapata usumbufu mkubwa—maisha, afya na shughuli zetu zimeathirika. Tunaomba maelezo ya wazi: Tatizo ni lipi hasa na kwa...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Mama karibu Mwanza tarehe 08 kwa kampeni (Anza na watu wa Mwauwasa na TANROD)

    Wananchi wanataka usimame hadharani juu ya mambo mawili makuu ambayo yamegeuka mateso makubwa na fedheha kwa jiji: Maji – Takribani mwezi mzima chanzo cha Butimba kimeharibika. Ulizindua mradi huu kwa matumaini, lakini hali imeendelea kuwa mbaya zaidi: Hata mgao wa siku mbili kwa wiki...
  16. T

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mama karibu Mwanza tarehe 08 kwa kampeni(Anza na watu wa Mwauwasa na TANROD)

    Wananchi wanataka usimame hadharani juu ya mambo mawili makuu ambayo yamegeuka mateso makubwa na fedheha kwa jiji: Maji – Takribani mwezi mzima chanzo cha Butimba kimeharibika. Ulizindua mradi huu kwa matumaini, lakini hali imeendelea kuwa mbaya zaidi: Hata mgao wa siku mbili kwa wiki...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Watendaji wa Mwauwasa: Jiuzuluni!

    Kwa takribani wiki nzima wakazi wa Nyegezi, Mwanza wamelazimika kuchota maji mitaroni baada ya huduma ya maji kukosekana kabisa bila taarifa yoyote kutolewa. Cha kushangaza, ni baada ya malalamiko ya wananchi kuibuka ndipo Mwauwasa walitoa tangazo kupitia akaunti yao ya mitandao ya kijamii...
  18. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwauwasa Mwanza hamuyaoni maji haya?

    Hili ni bomba la maji lililosahaulika kutoka enzi za Zakhiem wakati wa ujenzi wa barabara. Liko maeneo ya Mkolani Nida. Limekuwa kero maana maji yanatiririka muda wote na kutuama kama bwawa.Inasemekana mamlaka inataarifa na hili lakini haijachukua hatua ya kulifunga bomba hilo labda kwa sababu...
  19. T

    JamiiForums Tanzania MWAUWASA Mnamuangusha rais – wananchi wa Mwanza tunasema imetosha!

    Baada ya Mheshimiwa Rais kuzindua mradi mkubwa wa maji jijini Mwanza, wananchi tuliamini kuwa adha ya maji ilikuwa imefikia mwisho. Lakini hali ya sasa ni aibu kwa taifa na mateso kwa wananchi. UKWELI TUNAUJUA NA TUNAUISHI: Maji hakuna kabisa katika maeneo kama Nyegezi, Buhongwa, Butimba...
  20. JamiiForums Tanzania MWAUWASA: Maeneo ya Milimani Mwanza hukumbwa na upungufu wa maji kutokana na msukumo mdogo

    Mdau wa JamiiForums.com aliyejitambulisha kuwa Mkazi wa Mtaa wa Kaseze, Kata ya Mkolani, Wilaya ya Nyamagana aliandika ~ Mwanza: Mtaa wa Kaseze, Nyamagana hatuna maji, badhi ya Wananchi wanajisaidia vichakani, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imepa majibu Mwananchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…