mwanaume maskini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Huyu dada kaongea ukweli japo Lugha Ina ukakasi.Ukiolewa na Mwanaume Maskini Tulia Ukileta ujuaji kwenye Mali zake utachinjwa kama kuku.

    Sikiliza video kamaili hapa https://www.instagram.com/reel/DekdWJCik8d/?xtok=MXQycG1hZXY1azQ4dA==
  2. JamiiForums Miyorgirl: Mwanaume maskini ujue hata akili hana siwezi kuwa naye

    Muigizaji na mwanamitindo nchini, Miyorgirl, amezua mjadala mzito kwenye mitandao ya kijamii kufuatia kauli zake tata alizozitoa hivi karibuni wakati wa mahojiano na wanahabari jijini Dar es Salaam, ambapo ameweka wazi vigezo vyake vya mahusiano na msimamo wake wa kutotaka ndoa kabisa...
  3. JamiiForums Dalili za mwanaume maskini ni hizi

    Ukiona unahangaika sana na mapenzi yakujionyesha kuwa unaweza kufanya jamboo kwa mpenzi wako . WEwe jua wewe ni maskini . Eti mtu unajifanya uko updated eti maji nimelipa babe eti umeme nimeweka dstv nimelipa nimekununulia simu huo ni ujinga . Hayo ni maisha ya wanaume wa Dar na wa chuo...
  4. JamiiForums Mwanaume Maskini hana nafasi ya kufanya makosa mfululizo

    MWANAUME MASKINI HANA NAFASI YA KUFANYA MAKOSA MFULULIZO Kuna ukweli mchungu ambao wanaume wengi hawaambiwi mapema. Ukizaliwa maskini kama mwanaume — maisha hayatakusamehe kirahisi. Kwa sababu mwanaume maskini hana luxury ya kufanya makosa mengi bila gharama. Makosa yake hulipwa kwa maumivu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…