Wakuu mimi napenda sana wadada weusi yaani nikiwaona huwa nachanganyikiwa na sababu zinazonichanganya ni:-
1.Ni wa mooooto
2.Rangi yao hainunuliwi dukani kama weupe
3.Hachakai haraka
4.Halafu akiwa na kibesi au sauti nzito kidogo ananiua kabisa
Kwa ujumla wadada wa aina hii huwa nawapa...