1. Askari magereza aliyemsukuma Lisu, alinuka mpk kufikia hatua ya kuchomwa kisu na kufariki.
2. Ndugai aliyemsulubu Lisu kwa kumnyima stahiki zake, alinuka mpk kufikia hatua ya kulazimishwa kujiuzulu uspika. Na sasa amefariki.
3. Jiwe aliyepiga marufuku wanaccm kwenda kumuona Lisu hospitalini...