mwaka huu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mwaka huu hakutakuwa na Kizimkazi Festivals hadi mwakani july 19-26 panapo Majaliwa

    Wakuu habari ndiyo ni kwamba kama ilivyozoeleka tangu Mhe. Rais Samia aingie madarakani 2021 serikali ilianzisha Tamasha la Kizimkazi kwa lengo la kuenzi tamaduni za asili,uzinduzi wa miradi ya Serikali huko visiwani pamoja shughuli mbalimbali za kijamii. Tamasha hilo ambalo limekuwa maarufu...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nini Kimesababisha Watia nia ya Ubunge CCM kushuka kwa idadi kutoka 10,000 za Mwaka 2020 hadi 4,000 za mwaka huu?

    Walijitokeza 10,367 nafasi za majimbo 264, CCM mwaka 2020. Mwaka huu wamefika 4,109 pekee. Nini kimejili? Sababu zinaweza kuwa; 1. Kukosekana mvuto kwa CCM, 2. Rushwa kutamalaki, 3. Kanuni za kura za maoni kutokuwa rafiki kwa Watia nia, 4. Na kadhalika.
  3. JamiiForums Tanzania Vodacom mwaka huu nimeamua kublock message zenu zote za promotion na kuzireport kama spam

    Mnauza taarifa zangu kwenye makampuni yenu ya matangazo halafu niendelee kuwachekea natembeza block tu na kureport kama spam. Upumbavu sitakiii..
  4. JamiiForums Tanzania Wagombea wa mwaka huu wanatuonaje Watanzania? Mbinu wanazotumia kucheza na akili zetu ni za kizamani sana!

    Heshima sana wanajamvi. Tumeshuhudia vituko vya watia nia majimboni wakijaribu kucheza na akili za wananchi kwa kutumia siasa na hadaa za kijinga na utoto mwingi. Innocent Bachungwa kaliacha V8 300 Land Cruiser nyumbani kachukua Corolla chakavu kwenda kuchukua form ya UBUNGE. Pengine anataka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…