Hatutapoa 2023, hivi ndivyo unaweza kuelezea msimamo wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kupitia kwa Mwenyekiti wake Taifa, Freeman Mbowe kutangaza mambo matano ambayo kitayadai mwaka 2023.
Akizungumza na wanahabari baada idaba ya shukrani ya kuhamia katika nyumba yake mpya jana...