mwaka 2020

Joel Mwaka (born March 16, 1960) is a Tanzanian politician and a member of the Chama Cha Mapinduzi political party. He was elected MP representing Chilonwa in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ipo haja ya Hotuba ya Rais kabla ya kufunga mwaka 2020

    Heri ya Sikukuu ya Krismasi ndugu zangu? Naona ipo haja ya kuwa na hotuba ya Rais kwa Taifa kabla ya kufunga mwaka 2020. Hata akitoa Salamu za Mwaka Mpya nayo sio mbaya. Hii itamuwezesha kufanya mambo makubwa mawili; 1. Kuwashukuru wananchi kwa kumchagua kwa awamu ya pili ( najua ameshafanya...
  2. JamiiForums Tanzania Members walionegesha jukwaa la michezo mwaka 2020

    Mimi huwa navutiwa sana na Gentamycine hapa jukwaani , kwa mwaka huu 2020 kautendea haki hasa sisi tunaopenda soka la nyumbani. Japo kuna stori zake nyingine huwa ni za kutunga hasa za kumfagilia mnyama simba sports. Member gn amekuvutia hapa jukwaa la michezo kwa mwaka huu 2020?
  3. JamiiForums Tanzania Umesoma vitabu gani mwaka 2020?

    Habari wakuu? Ni mwisho wa mwaka. Tutafakari usomaji wetu wa mwaka huu. Vitabu vingi nimevijua kupitia michango ya members humu. Mi nimesoma vitabu vichache tu, sikuwa na usomaji mzuri. 1. Screw business as usual cha Richard Branson. Anaeleza jinsi biashara zinaweza kubadilika na kuweka...
  4. JamiiForums Tanzania Wimbo gani utakukumbusha mwaka 2020

    wimbo gani utakukumbusha mwaka 2020... We taja tu hata kama.... We taja tu..... ...nimesema we taja tu... Mabaya..mazuri...yote ni lazima tuyapitie.. 2020 Countin down
  5. JamiiForums Tanzania CPJ: Mwaka 2020, waandishi 274 wamekamatwa kutokana na kazi zao ukiacha wale waliopotea

    Kamati ya Kuwalinda Waandishi wa Habari(CPJ) imeripoti kuwa hadi kufikia Desemba 1, 2020 waandishi 274 walifungwa, idadi hiyo ikiwa kubwa kubwa kuliko ile iliyoripotiwa 2016 ambayo ilikuwa ni 272. China inatajwa kuwa nchi inayokamata waandishi wa habari wengi zaidi, ikifuatiwa na Uturuki. Nchi...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Deni la Kenya lakua kutoka KSH 1.8 Trillion kipindi cha Kibaki mpaka KSH 6.7 Trillion mwaka 2020

    Nimeangalia makala moja ya Africa Uncensored, inaonyesha deni la Kenya nimekua mara tatu zaidi ya Deni ambalo Mwai Kibaki aliacha. Makala hiyo inaeleza kwamba Tangu mwaka 2013 mpaka 2020 Deni limekua kutoka KSH 1.8 Trillion Mpaka kufikia 6.7 Trillion mwaka 2020. huu ni ukuaji wa kasi ya mwendo...
  7. JamiiForums Tanzania Uzi maalamu wa matukio yaliyogonga vichwa vya habari mwaka 2020

    Cheers! Namshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema kwa kuendelea kuruhusu mpaka sasa pumzi ipite katika virija vya mwili huu. Tukiwa tunakaribia kufunga mwaka 2020 karibu tutiririke mambo mbali mbali na matukio muhimu yaliyotokea mwaka huu (2020) katika maeneo mbali mbali hapa nchini na hata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…