muungano wa tanzania

Tanzania, officially the United Republic of Tanzania, is a country in East Africa within the African Great Lakes region. It is bordered by Uganda to the northwest; Kenya to the northeast; the Indian Ocean to the east; Mozambique and Malawi to the south; Zambia to the southwest; and Rwanda, Burundi, and the Democratic Republic of the Congo to the west. According to a 2024 estimate, Tanzania has a population of around 67.5 million, making it the most populous country located entirely south of the equator.
Many important hominid fossils have been found in Tanzania. In the Stone and Bronze Age, prehistoric migrations into Tanzania included Southern Cushitic speakers similar to modern day Iraqw people, who moved south from present-day Ethiopia; Eastern Cushitic people who moved into Tanzania from north of Lake Turkana about 2,000 and 4,000 years ago; and the Southern Nilotes, including the Datoog, who originated from the present-day South Sudan–Ethiopia border region between 2,900 and 2,400 years ago. These movements took place at about the same time as the settlement of the Mashariki Bantu from West Africa in the Lake Victoria and Lake Tanganyika areas. In the late 19th century, the mainland came under German rule as German East Africa. This was followed by British rule after World War I when it was governed as Tanganyika, with the Zanzibar Archipelago remaining a separate colonial jurisdiction. Following their gaining respective independence in 1961 and 1963, the two entities merged in 1964 to form the United Republic of Tanzania.
Tanganyika joined the British Commonwealth and Tanzania remains a member of the Commonwealth as a unified republic. Today, the country is a presidential constitutional republic with the federal capital located in Government City (Dodoma); the former capital, Dar es Salaam, retains most government offices and is the country's largest city, principal port, and leading commercial centre. For decades, Tanzania has been ruled by the Chama Cha Mapinduzi (CCM) as a de facto one-party state.
Tanzania's population comprises about 120 ethnic, linguistic, and religious groups. Christianity is the largest religion in Tanzania, with substantial Muslim and Animist minorities. Over 100 languages are spoken in Tanzania, making it the most linguistically diverse country in East Africa. The country does not have a de jure official language, although the national language is Swahili. English is used in foreign trade, in diplomacy, in higher courts, and as a medium of instruction in secondary and higher education. Arabic is widely spoken in Zanzibar, reflecting its history as a trading center dominated by Arabs.
Tanzania is mountainous and densely forested in the north-east, where Mount Kilimanjaro, the highest mountain in Africa and the highest single free-standing mountain above sea level in the world, is located. Three of the African Great Lakes are partly within Tanzania. To the north and west lie Lake Victoria, Africa's largest lake, and Lake Tanganyika, the continent's deepest lake, known for its unique species of fish. To the south lies Lake Malawi. The eastern shore is hot and humid, with the Zanzibar Archipelago just offshore. The Menai Bay Conservation Area is Zanzibar's largest marine protected area. The Kalambo Falls, located on the Kalambo River at the Zambian border, is the second-highest uninterrupted waterfall in Africa. Tanzania is one of the most visited tourist destinations for safaris.

View More On Wikipedia.org
  1. technically

    Kuna mambo 21 tu ya muungano lakini katiba inavunjwa waziwazi

    Kwa mujibu wa makubaliano ya muungano watanganyika wanatakiwa kuchukua ajira 79% na wazanzibar 21% tu kwenye secta zote zenye makubaliano ya kimuungano. Lakini kwa Sasa ni tofauti kabisa wazanzibar wanachukua ajira mpaka kwenye halimashauri na zahanati za vijiji. Tujiulize je Kuna...
  2. D

    Yajue mapungufu ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977

    UCHAMBUZI WA KISHERIA: MADHAIFU YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, 1977 KATIKA MUKTADHA WA MAHITAJI YA SASA Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 ni chombo kikuu cha kisheria kinachoongoza uendeshaji wa dola. Hata hivyo, kutokana na mageuzi ya kijamii, kisiasa na...
  3. Keynez

    Mfumo wa Muungano wa Tanzania unaweza kuwa suluhisho la kudumu la mgogoro wa Israeli na Palestine

    Siku moja niliwahi kuwaza, hivi pamoja na matatizo ya muundo wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, inawezekana kwamba muundo huu huu unaweza kufaa maeneo kama Middle East katika kupata suluhisho la kudumu kati ya Israeli na Palestine? Kabla haujanicheka au kunishambulia, embu tuwaze wote...
  4. H

    Nimekuja na salamu za upendo kutoka kwa Rais Samia ambaye anatambua mchango mkubwa wa taasisi za dini

    Nimekuja na salamu za upendo kutoka kwa Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye anatambua mchango mkubwa wa taasisi za dini katika kudumisha amani, maadili mema na mshikamano wa kitaifa-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Mpanda-Katavi 🗓️Machi 15, 2026...
  5. H

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inashiriki Mkutano wa 48 wa Baraza la Mawaziri Afrika unaofanyika jijini Addis Ababa, Ethiopia kuanzia Februari 11-12

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inashiriki Mkutano wa 48 wa Baraza la Mawaziri Afrika unaofanyika jijini Addis Ababa, Ethiopia kuanzia Februari 11-12, 2026. Ujumbe wa Tanzania katika mkutano huo unaongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa Mahmoud Thabit...
  6. H

    Balozi Matinyi akutana na wawekezaji wa Sweden, aelezea fursa za uwekezaji

    BALOZI MATINYI AKUTANA NA WAWEKEZAJI WA SWEDEN, AELEZEA FURSA ZA UWEKEZAJI Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi, ameongoza ujumbe wa ubalozi na taasisi za Serikali ya Tanzania katika kikao cha kimkakati na wafanyabiashara na wawekezaji kutoka Chama cha...
  7. mrxtz2026

    Maoni ya Pendekezo la Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.(Katiba iliyokamilika yote na yenye ujumbe mzito mno) 🇹🇿✅ Tafadhati Usipuuze

    Habari ndugu zangu wa Tanzania. Kwa jina la Hifadhi au Kificho naitwa Mr. X, na napenda kujitambulisha kwa jina hilo huku nikificha taarifa zangu zote za elimu, umri, na anuani ya makazi. Hata hivyo, niweke wazi tu kwamba mimi ni Mtanzania mwenye asili ya Tanganyika. Nina jambo muhimu sana...
  8. H

    Makamu wa Rais Emmanuel Nchimbi, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Japan nchini Tanzania

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe. Mikami Yoichi, mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma, leo tarehe 14 Januari 2025. Mazungumzo hayo yamelenga kuimarisha...
  9. H

    Ninawatakia Heri ya Mwaka Mpya 2026 Watanzania wenzangu wote. Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

    Ninawatakia Heri ya Mwaka Mpya 2026 Watanzania wenzangu wote. Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  10. H

    Heri ya Mwaka Mpya 2026 Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

    Heri ya Mwaka Mpya 2026 Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  11. H

    Ziara ya Kikazi Pwani na Dar es Salaam Dkt. Mwigulu Nchemba, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    𝗭𝗜𝗔𝗥𝗔 𝗬𝗔 𝗞𝗜𝗞𝗔𝗭𝗜 Pwani na Dar es Salaam Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. 📆 Jumatatu - Desemba 29, 2025. 🕰️ Kuanzia Saa 3 Asubuhi. Lengo la Ziara: 1. Kukagua hali ya Uzalishaji na Usambazaji wa Maji - RUVU CHINI. 2. Kukagua Maendeleo ya Ujenzi wa Soko...
  12. Just Pray

    PostGE2025 Rais Samia: Lililotokea ni tukio la kutengenezwa, ni mradi wenye nia ovu kuangusha dola ya nchi yetu

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema matukio yaliyotokea kuanzia Oktoba 29, 2025 na kuendelea yalikuwa matukio ya kutengenezwa ambayo yalikuwa na lengo la kuangusha dola ya nchi yetu. Ameyasema hayo leo Disemba 02, 2025 akizungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar Es Salaam katika ukumbi wa mikutano wa...
  13. President of China

    PostGE2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao Kazi cha Mawaziri, Naibu Mawaziri

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao Kazi cha Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu kilichofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 19 Novemba, 2025.
  14. President of China

    Baraza la Mawaziri wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limenifurahisha sana - Huu ni mwanzo mpya na maendeleo Kedekede

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezindua Baraza jipya la Mawaziri ambalo limepokelewa kwa matumaini makubwa na wadau wengi, likionekana kama mwanzo mpya wenye ahadi ya maendeleo Kedekede. Rais alitangaza Wizara 27, Mawaziri 27, na Naibu Mawaziri 29 mnamo...
  15. Kitimoto

    Wizara za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambazo si za Muungano ni zile ambazo ziko chini ya Serikali ya Zanzibar

    Wizara za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambazo si za Muungano ni zile ambazo ziko chini ya Serikali ya Zanzibar na hazihusiani moja kwa moja na masuala ya Muungano wa Tanzania Bara na Zanzibar. Hizi ni: 1. Wizara ya Kilimo (Zanzibar) 2. Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali (Zanzibar) 3...
  16. M

    Tuliowahi kuwa walimu hakuna topic inayotupa shida kama ya Muungano halafu kuwe na mwanafunzi mwenye akili timamu, maswali hayajibiki

    Kuna wale wanafunzi ambao wataalam wa kumeza ni rahisi kuwafundisha chochote Halafu kuna wale wenye akili timamu sasa, hapo shida ipo Kwa siku 3 nikiwa nafundisha topic ya muungano kuna mwanafunzi huyu alikuwa akiuliza maswali yanayonipa shida kumwelewesha, Siku ya nne alikuja na NDIZI PACHA...
Back
Top Bottom