musa zungu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Zungu: Kama Spika anatumia magari ya bei ya chini, sijui kwanini Waziri unataka kutumia gari la milioni 400

    Spika wa Bunge, Mussa Zungu, ameitaka Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, kwa kushirikiana na Wizara ya Fedha, Ofisi ya Waziri Mkuu na taasisi nyingine za Serikali, kuchunguza ununuzi na matumizi ya magari ya Serikali katika kipindi cha mwaka 2013 hadi 2026, kwa lengo la kubaini maeneo...
  2. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Zungu ashauri ukusanyaji wa mapato kupitia Data

    Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Azzan Zungu, amemtaka Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye, kuona namna watakavyoweza kushirikiana na Wizara ya Fedha, kuja na mfumo thabiti utakachochea ongezeko la mapato ya serikali kupitia matumizi ya data. ITV
Back
Top Bottom