muhula wa tatu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) Faustin Archange Touadera atangaza kugombea Urais kwa muhula wa tatu

    Wakuu, Chama tawala cha Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR), United Hearts Movement (MCU), kimemteua Rais wa sasa Faustin-Archange Touadera kuwa mgombea wake wa urais Jumamosi. Uamuzi huo umefikiwa katika kongamano la kawaida la chama hicho lililofanyika katika mji mkuu wa CAR, Bangui. Wafuasi wa...
  2. Waufukweni

    Trump asema hana nia ya kugombea muhula wa tatu

    Rais wa Marekani Donald Trump amekanusha kuwa anafikiria muhula wa tatu wa urais, hatua ambayo wataalamu wanakubali kuwa ni marufuku kwa mujibu wa Katiba ya Marekani. "Nitakuwa rais wa miaka minane, nitakuwa rais wa awamu mbili. Siku zote nilifikiri hilo lilikuwa muhimu sana," Trump alikiambia...
  3. Yoda

    Trump asema hatanii kugombea muhula wa tatu wa urais

    Ile tabia ya viongozi wa Africa kung'ang'ania madarakani baada awamu zao kumalizika hatimaye imefika huko kwa waliokuwa baba wa demokrasia. Mtawala wa US, Donald Trump ameanza kuchombeza uwezekano wa yeye kugombea muhula wa tatu kinyume na katiba, Trump anasema raia wengi wanamuhitaji kugombea...
  4. ChoiceVariable

    Senegal: Wafuasi wa Upinzani Waandamana Kupinga Rais Macky Sall Kugombea Muhula wa Tatu

    Mamia ya wafuasi wa Upinzani wameanza maandamano ya Siku 3 kupinga hatua ya Rais Macky Sall wa Senagal kupanga njama za kubadili Katiba Ili kumuwezesha Kugombea muhula wa 3. Wafuasi hao wengi wakiwa ni wa Kiongozi wa Upinzani Ausmane Sakho aliyeko kolokoloni wameapa kupambana kuhakikisha...
Back
Top Bottom