Watuhumiwa 202 wa kesi ya uhaini waachiwa huru Dar na Arusha, 18 warudishwa rumande
Watuhumiwa 198 kati ya washtakiwa 216 waliokuwa wakikabiliwa na mashtaka ya uhaini, kufuatia maandamano wakati wa Uchaguzi, wameachiwa huru leo Novemba 25, 2025 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar...
Wakfu wa Thabo Mbeki wasema Tanzania Haina Serikali Halali Baada ya Uchaguzi Mkuu, yasisitiza mazungumzo ya wazi
Wakfu wa Thabo Mbeki umetoa taarifa ukieleza kwa masikitiko makubwa kuwa Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa Oktoba 29, 2025 haukutimiza kanuni za kidemokrasia, baada ya waangalizi wa SADC...
Serikali yavitaka vyombo vya habari vya nje kutozingatia weledi na taratibu za uandishi, yasisitiza nchi ipo salama
Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa, amesema serikali ya Tanzania imesikitishwa na ongezeko la vyombo vya...
Mbeya: Polisi wakiri kumshikilia Clemence Mwandambo kwa tuhuma za Uchochezi
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limesema limemkamata mtengeneza maudhui mtandaoni na Mwalimu wa Shule ya Awali ya Mtakatifu Clemence, Clemence Kenani Mwandambo, mkazi wa Uzunguni “A”, kwa tuhuma za kutoa na kusambaza...
CNN waachia ripoti ya uchunguzi wa mauaji wakati wa uchaguzi, wasema huenda kaburi la halaiki lipo katika Makaburi ya Kondo, Dar
Kituo cha Habari cha Kimataifa cha Cable News Network (CNN) kimeachia ripoti yake ya uchunguzi kuhusu mauaji ya raia wakati wa uchaguzi mkuu nchini Tanzania...
Samia azindua Tume ya Uchunguzi wa ‘Matukio ya Uvunjifu wa Amani’ wakati wa Uchaguzi, ataka uchunguzi kauli za upinzani, ushiriki wa NGO na madai ya vijana kulipwa kufanya vurugu
Rais Samia amezindua rasmi Tume ya Uchunguzi wa ‘Matukio ya Uvunjifu wa Amani’ wakati na baada ya Uchaguzi, akisema...
Samia aunda tume Kuchunguza ‘Matukio ya Uvunjifu wa Amani’ wakati wa uchaguzi, itaongozwa na Jaji Mkuu mstaafu Othman Chande
Rais Samia ameunda Tume ya Uchunguzi kwa ajili ya kuchunguza ‘matukio ya uvunjifu wa amani’ yaliyotokea nchini Tanzania wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, na...
Lissu aiomba Mahakama Kuu aunganishwe kama mdaiwa kwenye kesi ya Mgawanyo wa Mali za Chama
Mkurugenzi wa Mambo ya Sheria na Haki za Binadamu wa CHADEMA, Gaston Shundu Garubindi, kupitia mtandao wa X amesema kuwa Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu, ameomba kuunganishwa kama mdaiwa kwenye...
Serikali yakanusha video ya miili kuonekana Hospitali ya Mwananyamala, yadai imetengenezwa kuleta taharuki
Serikali kupitia Wizara ya Afya imekanusha madai yaliyosambaa mtandaoni kuanzia Novemba 15 usiku kupitia video ambayo ilikuwa inaonyesha miili ya watu waliofariki ikiwa imelezwa sakafuni na...
TEC yalaani mauaji ya raia Oktoba 29. Yataka uwajibishwaji wa viongozi wa vyombo vya usalama, uchunguzi huru kufanyika na Katiba Mpya
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limetoa tafakuri yake juu ya yale yaliyotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, likilaani mauaji, utekaji, kuumizwa na...
Chama cha Mawakili wa Serikali chalaani vikali vurugu na maandamo ya Oktoba 29, wadai maandamano hayakuwa halali
Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA) kimelaani vikali vurugu, mauaji na uharibifu wa mali vilivyotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu 2025, na kutoa pole kwa waathirika huku...
Mawakili Mwabukusi na Mpoki wahojiwa kwa makosa ya ‘kuhamasisha maandamano ya Desemba 9 kwa Lengo la Kuvunja Muungano’
Jana, Novemba 12, Wakili Mwandamizi, Mpale Kaba Mpoki alipokea wito kutoka kwa Mkuu wa Upelelezi wa Wilaya ya Kawe akitakiwa kufika Kituo cha Polisi Mbweni leo Novemba 13...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.