muhtasari matukio 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JF Summary

    Muhtasari wa Matukio Muhimu Tanzania - Disemba 16, 2025

    Odero: Lissu kuwa gerezani hakuzuii maridhiano kufanyika. Mazungumzo yanaweza kumaliza changamoto tunazopitia CHADEMA Kada wa CHADEMA, Charles Odero, amesema ni muhimu kwa vyama vya siasa na Serikali kukaa meza moja ya mazungumzo ili kuimarisha mshikamano wa kisiasa na kusukuma mbele maendeleo...
  2. JF Summary

    Muhtasari wa Matukio Muhimu Tanzania - Disemba 15, 2025

    Godfrey Mwambe aachiwa kwa dhamana. Anatuhumiwa kupanga njama za kutaka kumuua ‘Mkuu wa Polisi’ Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam leo Jumatatu Desemba 15, 2025 imeyaondoa rasmi maombi Na. 289778/2025 yaliyokuwa yamefunguliwa na Waziri wa zamani Geoffrey Mwambe dhidi ya Mkuu wa...
  3. JF Summary

    Muhtasari wa Matukio Muhimu Tanzania - Disemba 14, 2025

    Kiliba: Tumtii na kumuombea Rais Samia Akizungumza na waandishi wa habari leo Desemba 14, 2025, Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba, amewasihi Watanzania kumuunga mkono Rais Samia, pamoja na viongozi wengine wa nchi, akisisitiza kuwa ni...
  4. JF Summary

    Muhtasari wa Matukio Muhimu Tanzania - Disemba 13, 2025

    Mhadhiri wa UDOM akamatwa na Polisi baada ya kurekodiwa akijadili maandamano ya Desemba 9 darasani, aachiwa kwa dhamana Mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma (ambaye hajatajwa jina) anadaiwa kukamatwa na Polisi baada ya nyumba yake kufanyiwa upekuzi na kuhojiwa kabla ya kuachiwa kwa dhamana...
  5. JF Summary

    Muhtasari wa Matukio Muhimu Tanzania - Disemba 12, 2025

    UN yatoa wito kwa Mamlaka za Tanzania kutoa taarifa za waliopotea na waliokufa Oktoba 29 Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu imesema kuna taarifa za vifo, majeruhi na watu kukamatwa katika kile kilichokea wakati wa uchaguzi, Oktoba 29 nchini Tanzania. Kamishna Mkuu Volker Turk ametoa...
  6. JF Summary

    Muhtasari wa Matukio Muhimu Tanzania: Disemba 11, 2025

    Kesi yafunguliwa dhidi ya IGP, DPP na ZCO kutaka Mwambe apewe Dhamana au afikishwe Mahakamani. Kusikilizwa Disemba 15 Wakili Hekima Mwasipu amefungua shauri la dharura Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu dhidi ya Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Camilius Wambura, Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) Sylvester...
  7. JF Summary

    Muhtasari wa Matukio Muhimu Tanzania - Disemba 9, 2025

    Maadhimisho ya Miaka 64 Uhuru wa Tanganyika Vyombo vya Ulinzi vyatanda barabarani. Serikali yasema haikutoa amri ya watu kukaa ndani. Maandamano yakwama… Maadhimisho ya miaka 64 ya Uhuru wa Tanganyika kwa mwaka 2025 yamekuwa ya aina yake baada ya vijana kutangaza kufanya maandamano yasiyo na...
  8. JF Summary

    Muhtasari wa Matukio Muhimu Tanzania - Disemba 8, 2025

    Simbachawene: Maandamno ya Desemba 9 ni haramu, mtandao utazimwa hali ikiwa mbaya. Polisi wafuate sheria wanapokamata mtuhumiwa, hakuna kuvaa kininja Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, amesema maandamano yanayodaiwa kupangwa kufanyika Desemba 9, 2025 ni haramu na...
  9. JF Summary

    Muhtasari wa Matukio Muhimu Tanzania - Disemba 7, 2025

    116 wakamatwa Mwanza kwa kuratibu maandamano Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limewakamata watu 116 wanaodaiwa kuhusika kuratibu maandamano yanayotarajiwa kufanyika Desemba 9, yakitajwa kuwa na viashiria vya uvunjifu wa amani, huku likisisitiza kuwa maandamano hayo yamekatazwa rasmi...
  10. JF Summary

    Muhtasari wa Matukio Muhimu Tanzania - Disemba 6, 2025

    Mohamed Ali Kibao alalamikia ukimya wa mamlaka kuhusu mauaji ya Baba yake, Mzee Ali Kibao, awashauri Rais na Waziri Mkuu kukiri yaliyotokoea Zaidi ya mwaka mmoja tangu kuuawa kwa Mzee Ali Kibao September 2024, Mohamed Ali Kibao, mtoto wa marehemu ametoa malalamiko kutopata majibu yoyote kutoka...
  11. JF Summary

    Muhtasari wa Matukio Muhimu Tanzania - Disemba 5, 2025

    Balozi 16 zaitaka Tanzania kuachia wafungwa wa kisiasa, kusitisha utekaji na kurudisha miili ya waliouawa Balozi za nchi 16 pamoja na Ujumbe wa Umoja wa Ulaya wametoa tamko kuonyesha huzuni na wasiwasi mkubwa kufuatia vifo, majeruhi na madai ya ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu...
  12. JF Summary

    Muhtasari wa Matukio Muhimu Tanzania - Disemba 4, 2025

    Kesi ya Mange yaahirishwa hadi Januari 28, 2026, Upelelezi haujakamilika Kesi ya Uhujumu Uchumi Na. 000021172 ya mwaka 2025 inayomkabili mwanaharakati Mange Kimambi imeahirishwa hadi Januari 28, 2026, baada ya upande wa Jamhuri kuiambia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya Hakimu Mkazi...
  13. JF Summary

    Muhtasari wa Matukio Muhimu Tanzania - Disemba 3, 2025

    Serikali yawafutia mashtaka watuhumiwa 219 wa kesi ya uhaini wakiwemo Niffer na Mika Jumla ya watuhumiwa 219 waliokamatwa kufuatia maandamano na vurugu za baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 wameachiwa huru leo nchini kote, baada ya Serikali kupitia ofisi ya DPP kuiarifu mahakama kuwa...
  14. JF Summary

    Muhtasari wa Matukio Muhimu Tanzania - Disemba 2, 2025

    Samia: Vurugu za Oktoba 29 walitaka kuangusha Dola. Tunapoambiwa tulitumia nguvu kubwa, nguvu ndogo ni ipi? Wanatupa maelekezo kwani wao ni kina nani hasa? Rais Samia amezungumza na Taifa kupitia mkutano maalum na ‘Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam’, uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha...
  15. JF Summary

    Muhtasari wa Matukio Muhimu Tanzania - Disemba 1, 2025

    Chande: Tunaahidi uwazi na uadilifu kwenye uchunguzi wa matukio ya Oktoba 29 Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa ‘Matukio ya Uvunjifu wa Amani’ wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, Jaji Mkuu Mstaafu Mohammed Chande Othman, amesema tume imepewa jukumu la kufanya uchunguzi huru, wa kina...
  16. JF Summary

    Muhtasari wa Matukio Muhimu Tanzania - Novemba 30, 2025

    Mwigulu: Rais Samia ameagiza Polisi waache kumtafuta Askofu Gwajima Waziri Mkuu wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, amesema Rais Samia amelielekeza Jeshi la Polisi kusitisha kumtafuta Askofu Josephat Gwajima kama lilivyotangaza awali, ili aendelee na shughuli zake na kutoa fursa ya kujenga umoja wa...
  17. JF Summary

    Muhtasari wa Matukio Muhimu Tanzania - Novemba 29, 2025

    Serikali yaonya juu ya maandamno ya Desemba 9 Serikali kupitia Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, imetoa wito kwa vijana na wananchi kulinda amani na kuepuka kushiriki maandamano, ikielezwa kuwa nchi bado inakabiliwa na athari nzito za maandamano ya Oktoba 29. Akizungumza...
  18. JF Summary

    Muhtasari wa Matukio Muhimu Tanzania - Novemba 28, 2025

    Ridhiwani Kikwete: Nipo tayari kuhojiwa kuhusu tuhuma za vituo vya Lake Oil. Wenye ushahidi wapeleke Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utumishi na Utawala Bora), Ridhiwani Kikwete amesema yuko tayari kuhojiwa na Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kufuatia tuhuma zinazoelekezwa kwake...
  19. JF Summary

    Muhtasari wa Matukio Muhimu Tanzania - Novemba 27, 2025

    Bunge la Ulaya lapiga kura ya ndiyo kuzuia misaada Tanzania, lataka Lissu aachiwe Bunge la Ulaya limeitaka Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya (EU Council) kusitisha ufadhili kwa Serikali ya Tanzania na kuagiza fedha za misaada zielekezwe kwa asasi za kiraia, wanahabari, na watetezi wa haki za...
  20. JF Summary

    Muhtasari wa Matukio Muhimu Tanzania - Novemba 26, 2025

    OCD Chunya: Vituo vya Mafuta msiwauzie bodaboda na bajaji zaidi ya lita 2 za petroli Mkuu wa Polisi wa Wilaya ya Chunya, OCD Nestory John, ametoa agizo kwa vituo vya mafuta kutowauzia madereva wa bodaboda na bajaji zaidi ya lita mbili za petroli kwa siku kuelekea Disemba 9, akidai wengi wao...
Back
Top Bottom