muhimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nahitaji kufahamu vitu muhimu vinavyohitajika katika biashara ya nguo

    Wadau wa JF Naomba ushauri wenu vitu muhimu vinavyohitajika katika biashara ya nguo, mtaji kiasi gani, changamoto za hii biashara ni zipi? Nguo za kiume za dukani.
  2. Kwanini ujenzi wa bwawa la umeme la Nyerere ni muhimu?

    KWANINI MRADI WA UZALISHAJI UMEME WA MAJI BWAWA LA NYERERE MTO RUFIJI NI MUHIMU? Mradi huu unatarajia kuzalisha megawati 2,115 za umeme hatua ambayo inaelezwa kwamba itasaidia kupunguza tatizo la nishati hiyo muhimu kiuchumi na kijamii hapa nchini. Wasomi wanaeleza kukamilika kwa mradi huu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…