"Tuepuke upepo mbaya unaosambazwa kwa chuki za kidini, sisi waisalam Mungu hatuktazi kuishi kwa wema na wasiokuwa waislam, maisha ya watu lazime yalindwe nawasihi wote wanaohamasisha matendo ya kuvuruga amani tarehe 9 au 25 waache, pia nawaomba viongozi wa dini zote kuendelea kuwa watulivu hata...
AGIZO LA SHEIKH MKUU NA MUFTI WA TANZANIA
"Assalaam alaikum.
Nimewaagiza Mashekhe wote Nchini kuanzia Mikoa, Kata na Wilaya pamoja na Maimamu wa Misikiti yote Nchini Kuleta Dua ya Qunuti baada ya kila Sala. Dua hii Maalum kwa ajili ya kuendelea kumlilia na kumuomba M/Mungu Mtukufu aendelee...
KATIBU MKUU BAKWATA ATEUA KAMATI KUANDAA MAADHIMISHO YA MIAKA KUMI YA YA UONGOZI MAKINI NA IMARA WA MHES
MUFTI...........
Mh. Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) Alhaj Nuhu Jabir Mruma Ashighatiiniy Almwangawiy ameteua kamati maalum kuandaa maadhimisho ya miaka kumi...
"Sisi waislamu wa Tanzania tunashukuru sana Allah kwa sababu sasa mufti tuliyenaye anakubalika sana. Taasisi za kitaifa na kimataifa na serikali za nchi mbalimbali duniani kote huko Mufti wetu anakubalika sana..."TUNA BAHATI YA KUWA NA MUFTI ANAYEKUBALIKA"
"Awali tulishuhudia mashindano makubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.