1. Paulo, aliyefahamika awali kama Sauli, alikuwa Farisayo aliyejitoa kuwaudhi Wakristo wa kwanza. Alishiriki moja kwa moja katika kuuawa kwa Stefano na alikuwa na chuki kubwa dhidi ya jina la Yesu.
2. Alikutana "live" na Yesu na kubadilishwa kabisa. Akiwa njiani kwenda Dameski ili kuwakamata...