Tuliohudhuria mtoko wa pasaka huyu muimbaji Christina shusho hana ndugu? Mbona wasanii wakiwa na tafrija wakiitwa ndugu hujitokeza kwa wingi sana ...vipi kwa huyu dada yetu na mbona siasa ni nyingi kuliko muimbaji wake
Usiku wa mtoko wa pasaka matukio mengi yamefanyika kichawa sana :4WeirdJam: tulitegemea iwe sehemu ya kuusifu utukufu wa Mungu kwa kumtoa mwanaye wa pekee aliyetukomba kwa msalaba dhidi ya madhambi yetu lakini unasikia kwaya inamsifu Rais Samia na kuimba apewe mitano tena, hovyoo:AAAA::AAAA:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.