Asee dunia kubwa,
Narudia tena wazee dunia kubwa sana. Leo nimelitoa out jimama la kizungu nililolipata miezi kadhaa nyuma huku nikilipelekea moto kila siku mana halina period. Age went!
Tumekuja maeneo ya makunduchi kula bulgogi, lavasta na manalkeesh. Kuna upepo wa kutosha na watoto wengine...
SEHEMU YA KWANZA
MTUNZI: The Last Joker
Mwanzo wake haukuwa na kelele nyingi. Saa tano za mchana, jua lilipokua limeyumba pembezoni mwa msitu wa Mtende, kulikuwa na ukimya wa ajabu. Kimya kilichozidi hata cha kaburi. Ukapigwa na upepo wa ghafla—ukaja kama kicheko cha majini waliokuwa hawajala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.