mtatiro kitinkwi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PAYE

    GE2025 SACP, Kitinkwi: Mtu yeyote atakayevunja sheria atashughulikiwa

    Kamanda wa Polisi Kinondoni SACP, Mtatiro Kitinkwi akizungumza kupitia Clouds TV, amesema; atashughulikiwa kwa mujibu wa sheria kutokana na kosa alilolitenda Soma: SACP Kitinkwi: Jeshi la polisi ndiyo linawajibu wa kuruhusu na kuzuia maandamano, na yale ya Oktoba 29 yamezuiliwa
  2. DuaZaMama

    GE2025 SACP Kitinkwi: Jeshi la polisi ndiyo linawajibu wa kuruhusu na kuzuia maandamano, na yale ya Oktoba 29 yamezuiliwa

    Akizungumza na kituo cha Clouds Redio Kamanda wa polisi mkoa wa kipolisi kinondoni amesema kuwa Jeshi ndiyo linawajibu wa kuruhusu na kuzuia maandamano kamanda huyo amesema kuwa jeshi limezuia maandamano yanayotarajiwa kufanyika Oktoba 29 kutokana na kusudi lake. (SACP), Mtatiro Kitinkwi
Back
Top Bottom