mtambo

Timothy Mtambo (born 12 August 1984) of Chitipa is a Malawian politician and serves as Minister of Civic Education and National Unity in Malawi government since 2020. Prior to active politics, Mtambo was a human rights activist. He is mostly known for the role he played by leading demonstrations against the regime of President Peter Mutharika, accusing the regime of nepotism and corruption. Mtambo also holds the position of Commander in Chief of Citizen for Transformation Movement (CFT).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania DAWASA kuzima Mtambo Ruvu Chini kwa saa 36 Januari 30, 2023

    Mamlaka ya Maji Safi na Mazingira Dar es Salaam, (DAWASA) imetangaza kuzimwa kwa mtambo wa kuzalisha Maji Ruvu Chini uliopo Wilayani Bagamoyo kwa saa 36 Jumatatu 30 Januari 2023 Kwa mujibu wa DAWASA, lengo la uzimaji huo ni kusafisha mifumo yote ya Mtambo ikiwemo Machujo, Matanki yote ya Maji...
  2. JamiiForums Tanzania DAWASA kuzima mtambo wa Ruvu Juu kwa ajili ya matengenezo Januari 11, 2023

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imesema Mtambo huo utazimwa Januari 11, 2023 saa 12 asubuhi ili kufanya matengenezo ya Mabomba Makubwa ya Inchi 48 na 36 eneo la Mlandizi na Visiga. Maeneo yatakayokosa Maji ni Chalinze, Mboga, Ruvu Darajani, Ruvu JKT, Vigwaza...
  3. JamiiForums Tanzania Taifa lijulishwe bei na namna huu mtambo wa Tanesco ulivypatikana. Hizi ni harufu za ufisadi kupitia mgao wa umeme hapa nchini.

    Taratibu za manunuzi zimefuatwa? Je kama zimefuatwa mbona taifa halikuwekwa wazi? 👇
  4. JamiiForums Tanzania TANESCO: Mtambo wa kuzalisha Megawati 20 za umeme umewasili Nchini ukitokea Marekani

    Ijumaa Desemba 2, 2022, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) lilitoa taarifa ya jitihada za muda mfupi zilizokamilika pamoja na zinazoendelea kufanyika katika kukabiliana na upungutu wa umeme. Leo Jumanne Desemba 6,2022, TANESCO imetoa ripoti kuwa tayari mtambo wenye uwezo wa kuzalisha Megawati...
  5. JamiiForums Tanzania MSAADA: Natoka usaha na mtambo unawasha sana, dawa yake nini?

    Nina wiki sasa natoka usaha kwenye vyumba vya kubadilishia nguo! Kuna pisi niliikuna sana wiki moja iliyopita sasa nahisi imeniachia unaa! Siyo kosa lake ni ubishi wangu, maana aliniomba sana nivae mpira nikagoma katakata! Nitumie dawa gani?
  6. JamiiForums Tanzania Karibu tukujengee mtambo wa Biogas

    MITAMBO YA BIOGAS Karibuni , Tuwajengee mtambo wa Biogas kulingana na Mahitaji yako, iwe nyumbani, mashule, Bar, . Mitambo hii inatumia vinyesi vya wanyama, Kama ,ng'ombe, kuku,kondoo na wanyama wowote wafugwao . Gharama: Gharama zetu zinategemea na aina na ukubwa wa mtambo unaotaka na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…