mswada wa sheria

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania MSWADA WA SHERIA: Pendekezo la Sheria ya kudhibiti na kutokomeza "Uchawa" maofisini na Bungeni (Udhibiti wa Chawa wa Kisiasa)

    Ndugu wana-jamvi, Inasikitisha kuona kuwa leo hii nchini, elimu yako, weledi wako, na uchapakazi wako maofisini havina thamani tena. Ili upandishwe cheo, ulindwe usitumbuliwe, au upate mkataba wa serikali, huna haja ya kuwa na akili kubwa—unachotakiwa kuwa nacho ni "Cheti cha Uchawa"...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bunge la Kenya mbioni kupiga marufuku tabia ya hospitali kuzuia miili ya marehemu kwa sababu ya madeni ya matibabu

    Bunge la Taifa limeanza hatua ya Usomaji wa Pili wa Muswada wa Bunge Na. 56 wa mwaka 2024, unaolenga kukomesha tabia ya muda mrefu ya hospitali za umma kuwazuia wagonjwa na miili ya marehemu kwa sababu ya madeni ya matibabu. Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Afya, unaodhaminiwa na Mbunge wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…