msumi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania TUNZA AMANI?,mwambieni bi msumi kama yeye ameweza

    "Hatuna nchi nyingine zaidi ya Tanzania.Tulinde amani ni mtaji wetu,tuitunze,tusikilizane,tuheshimiane,tushikamane." Huu ni ujumbe toka kwa machakubanga waliojiweka madarakani kwa mabavu,sasa nasema hivi; Mosi hakuna nchi inaitwa TANZANIA,ilikufa kitambo sana. Pili sisi wananchi hatuna uwezo...
  2. D

    JamiiForums Tanzania DAWASA sasa rasmi Msumi, wakazi 300 kuunganishiwa huduma

    Wakazi wa eneo la Msumi, Kata ya Mbezi wilayani Ubungo, wameanza kupata huduma ya majisafi kufuatia kukamilika kwa Mradi wa Maji wa Msumi uliotekelezwa na DAWASA kwa gharama ya zaidi ya shilingi bilioni 1.2. ‎ ‎Kupitia mradi huo, wakazi wameanza kukabidhiwa vifaa vya maunganisho mapya sambamba...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Msumi: DAWASA yakabidhi eneo la Ujenzi wa Tenki

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imekabidhi rasmi eneo la ujenzi wa tenki la maji litakalokuwa na uwezo wa kuhifadhi lita 500,000 katika eneo la Mbezi Msumi kwa mkandarasi Jeccs Construction and Supply Limted. Hatua hiyo ni kuashiria kuanza rasmi kwa shughuli za...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kamati ya siasa Wilaya ya Ubungo yaipa kongole DAWASA utekelezaji mradi wa maji Msumi

    Kamati ya Siasa Wilaya ya Ubungo ikiongozwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya hiyo, Mheshimiwa Rogat Mbowe wameipongeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kwa kasi ya utekelezaji wa mradi wa maji Msumi ikisema mradi huo unakwenda kuwa muarobaini wa...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Msumi wamiminika kuomba huduma ya maji

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), inaendelea na zoezi la upimaji tafiti na kuandikisha wateja wapya wa Mtaa wa Msumi, Kata ya Mbezi, Wilaya ya Ubungo wanaotarajia kunufaika na huduma ya majisafi baada ya kukamilika kwa utekelezaji wa mradi wa maji Msumi. Mradi wa...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Wakazi Msumi wahimizwa kuchangamkia fursa ya huduma ya majisafi

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), imeanza zoezi la kupokea na kuandikisha wateja wapya wa Mtaa wa Msumi, Kata ya Mbezi, Wilaya ya Ubungo wanaotarajia kunufaika na huduma ya majisafi baada ya kukamilika kwa utekelezaji wa mradi wa maji Msumi. Akizungumzia zoezi...
  7. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa,ipo mbezi makabe,njia panda ya msumi,bei ni milioni 350,maongezi yapo

    HOUSE FOR SALE; LOCATION: njia panda ya msumi mita400 kutoka lami nyumba inaitaji umaliziaji SQM: 730 Nyumba ina vyumba 6 master,3 PRICE: 350 negotiable UMILIKI: Hati Miliki. Ipo mwishoni Sitting room (2) Parking, Kitchen, Dining room (2) Public toilet nje, Public toilet ndani...
Back
Top Bottom