mshangazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Umri gani siyo poa kumzalisha mshangazi au jimama?

    Mishangazi na mijimama ina raha yake. Je, kuna umri siyo poa kupeana ujauzito? Kuna huyu kijana mcheza basketball ana miaka 22 ana uhusiano na amemzalisha mshangazi wa miaka 40. Vipi ingekutokea wewe, ungeelewekaje huko kwenu?
  2. JamiiForums Tanzania Huyu bata jike unamfananisha na mshangazi gani humu JF?

    Huyu bata pichani hapa chini anajifanya yeye ndo yeye kama baadhi mishangazi ijifanyavyo humu JF. Unadhani huyu bata anasadifu tabia ya mshangazi gani humu. Binafsi naona huyu bata kakopi na kupesti tabia za BRAZA CHOGO na BICHWA KOMWE - .
  3. JamiiForums Tanzania Nimechoka kuitwa Mshangazi, Mungu nipe mume tafadhali

    Eh, Nyie watoto acheni kumsumbua Mungu jamaan Leo nimekaa kwenye lounge ya ofisi moja mjini, naskia wadada wawili wanaongea kwa kutiana moyo Maongezi ya mmoja yalikuwa hivi, "Nimechoka kuitwa Mshangazi, Mungu nipe mume please 🙏 " Nilitaka kumjibu lakini user yangu ikawa imefika Wewe...
  4. JamiiForums Tanzania Kijana mdogo kutoka na mshangazi ni kuidhulumu nafsi

    Nipende kuwa tu muwazi, unless kuna faida za kiuchumi unazozipata, kijana mdogo kutoka na mshangazi ni kujipunja na kuidhulumu nafsi yako. Niulize kwanini? Kikubwa unachotakiwa kujua ni kuwa wanawake hua wanaanza mambo ya mapenzi mapema sana. Kwa kawaida mabinti huanza "mchezo mchafu" wakiwa...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Nina miaka 40, naweza kupata mshangazi?!!!

    Au Ili awe mshangazi wako inabidi uwe chini ya miaka mingapi?!!
  6. JamiiForums Tanzania Sifa za Mshangazi

    Baada ya Mishangazi kushika kasi sio vibaya tukajua sifa kuu za mshangazi. 1. Awe single. 2. Awe kaachika au mjane. 3. Awe mweupee. 4. Awe na pesa. 5. Awe mnene. Baada ya hayo, niwatakie kila la heri mishangazi yote.
  7. JamiiForums Tanzania Hii dunia hii, rafiki yangu kanyang'anywa gari na mshangazi wake

    Jamaa alikuwa anatamba sana na IST mpya kabisa, apartment kali. Sasa jamaa kajichanganya alikuwa na mtu wake sahihi huyu mshangazi alikuwa anamvuna tu. Swali langu kwenu wakuu kwanini mishangazi inapenda vijana wa makamo?
  8. JamiiForums Tanzania Wakuu tupeane mbinu za kupata 'mishangazi'

    Wakuu, unaanzaje anzaje kutongoza mishangazi maana mishangazi unapoifata inakuwa seriouz sana, halafu ukienda kichwa kichwa unaweza ukakemewa na mshangazi hadi uone siku yako imeenda vibaya. Hapa mi namaanisha mishangazi ya kuanzia miaka 45 na kuendelea.
  9. JamiiForums Tanzania Cutting timeless barbershop7

    Naenda kwenye point moja kwa moja. Jamani kama wewe ni mtu mwenye kupendelea kupendeza nyakati zote basi huna budi kumfikia huyu jamaa Location ni Mbezi beach Afrikana pia popote ulipo kwa Dar es Salaam basi ni huduma itakufikia na utapendeza ni kijana safi mwenye anaejitafuta basi hatuna...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Inasemekana mtangazaji mmoja wa wachafu tv pesa alizokuwa anahongwa majuu na mshangazi ametumia kama mahari kwa covid I 9

    Aisee inasemekana mtangazi mmoja wa wachafu tv bwana x pesa alizokuwa anahongwa na mshangazi ambaye anaishi majuu ametumia kuhonga au kulipia mahari kwa wale watu wa covid 19 upande wa singida ndiyo maana jamaa kwa sasa route za majuu zimekata kutokana na mshangazi amekata kutoa fund raise kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu mahuiano na mwanamk aliyenizidi umri

    Shalom shalom. Mwanamke aliyenizidi umri ananitaka mana nilikuwa nikimsalimia shikamoo anakwepa, ni limwalim wa secondary kanizidi kama miaka 15 hivi. muda wote anataka kuchat usipochat ananuna. Ushauri wenu wanazengo
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…