Mgombea Ubunge Kigoma Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Clayton Chipando (Baba Levo) akiwa kwenye Mahojiano katika kipindi cha one on one Wasafi TV aliulizwa swali na mwandishi wa habari Charles William akirejelea kauli ya Baba Levo kuwa Wabunge wanalipwa Milioni 18 kwa mwezi
Soma pia...
Kwa ninavyojua MTU Kama Makonda hana uwezo wowote wa kuwa kiongozi ni vile anabebwa na mfumo.
Je Makonda ameamua kuingia kugombania ubunge ili ajiondoe katika Kazi zenye Pressure Kama U-RC na U-DC !?
Au kaamua kufukuzia Mshahara Mkubwa ambao ubapatikana bila kufanya Kazi ambazo ni mil 18...
Spika Tulia amesema mshaara wa mbunge hauna utofauti na mishaara na watu anaolingana nao katika kada ya utumishi wa umma, pengine watu awafahamu kwamba mbunge ni sehemu ya mtumishi wa umma.
Moja wapo ya ahadi ya mwana TANU ni "Nitasema ukweli Daima,fitina kwangu mwiko" na Leo Nitasema ukweli kama mwanaCCM unafiki sitaki.
Bwana Heche ameonesha kubeza posho ya 400000 walizokuwa wanalipwa wabunge ni kubwa. Sipo kwa lengo la kupinga au kukubali posho hizi ila nipo kuufichua unafiki wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.