mshahara hautoshi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania Ulifanya nini ulipogundua mshahara hautoshi tena kukidhi mahitaji yako?

    Najua wengi ni wahanga. Weekend karibuni Tujadili hii mada ulifanyaje ulipoona mshahara hautoshi tena na mahitaji ya lazima, madeni yameongezeka. Hii kada kwa ajili ya waajiliwa mshahara umetoka unajikuta ulichopokea lazima kiende kwenye. 1. CHAKULA hapa ni zaidi ya nusu ya mshahara ulionao...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Je, mshahara wako unakidhi mahitaji yako vyema?

    Nawapa tips watu wa mshahara, hii ni gauge ya kujipima kama unafanya kazi au unafanywa kazi, nitatumia mifano hai, ambayo unaweza kurelate nayo kwa Tanzania. Ukiona inakukera ujue ushafeli. 1. Mshahara wako wa mwezi kama hauwezi kununua smart phone mpya ya flagship kwa mwaka husika. Mf. Pixel...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Mshahara wangu ni laki 3 kwa mwezi, nitumie shilingi ngapi kwa siku ili unitosheleze?

    Samahani jamani mimi ninalipwa mshahara wa 300k kwa mwezi nafanya kazi katika kampuni moja hivi. Lakini pesa hii haikai kabisa, yaani hapa nilipo sijui natakiwa kutumia shingapi kama pesa ya chakula. Msaada please Pia Soma: Unatumiaje laki tatu kwa mwezi?
Back
Top Bottom