msaidizi wa tundu lissu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PICHA: Msaidizi wa TUNDU LISSU akiwa ameumizwa vibaya na watekaji

    Picha zikionyesha Msaidizi wa TUNDU LISSU akiwa ameumizwa vibaya na watekaji usiku wa kuamkia leo. David Djumbe alitekwa siku ya Jana Maeneo ya Bunju akiwa na rafiki yake wakati wa kutekwa alipiga kelele sana bodaboda wakafukuzia GARI kwa nyuma Walipofika umbali wa kilometa kama 3 watekaji...
  2. JamiiForums Tanzania Msaidizi wa Lissu apatikana baada ya kudaiwa kutekwa akiwa na pingu mkononi pamoja na majeraha

    Picha zikionyesha Msaidizi wa TUNDU LISSU akiwa ameumizwa vibaya na watekaji usiku wa kuamkia leo. David Djumbe alitekwa siku ya Jana Maeneo ya Bunju akiwa na rafiki yake wakati wa kutekwa alipiga kelele sana bodaboda wakafukuzia GARI kwa nyuma Walipofika umbali wa kilometa kama 3 watekaji...
  3. JamiiForums Tanzania David Djumbe (Msaidizi wa Lissu) atekwa

    Msaidizi wa Tundu Lissu, David Djumbe inadaiwa ametekwa usiku huu na wanaodhaniwa kuwa Maafisa wa Usalama wa Taifa ambao walikuwa na silaha za moto. Djumbe ametekwa akiwa nje ya geti la nyumbani kwake, maeneo ya Bunju Dar es Salaam. Wananchi waliokuwa wanalikimbiza gari hilo lililomteka...
  4. JamiiForums Tanzania Msaidizi wa Lissu adaiwa kujeruhiwa na mapanga na watu wasiojulikana

    Msaidizi maalum wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA na aliyekuwa Mgombea Urais wa Tanzania, Tundu Lissu; ameshambuliwa kwa mapanga na watu wasiojulikana jijini Dar es Salaam jana, 30 Oktoba 2023 majira ya saa 2 usiku. Hizi ni dalili za giza la kisiasa kuanza kutanda tena! ==== Pia soma ~ Matukio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…