"Mzee Lowasa kuhamia kwake Chadema kulibadilisha kabisa mwelekeo wa siasa mwaka 2015 kwenye nchi hii, kwa sababu alikuwa ni mtu ambaye ana ushawishi mkubwa, jamii ilikuwa inamuelewa, na aliweza kusaidia mageuzi ya nchi hii mwaka 2015 kwa mara ya kwanza majiji yote makubwa yakaongozwa na Chadema"...