Mahakama kuu masjala kuu Dodoma imesema inahitaji muda zaidi wa kutoa uamuzi wa mwisho na usio wa mashaka katika shauri la Kikatiba lililofunguliwa na Mgombea Urais wa chama cha ACT-Wazalendo, Luhaga Mpina na Bodi ya Wadhamini wa chama hicho.
Shauri hilo ni la kupinga kuondolewa kwake...
Akizungumza leo Septemba 13, 2025 katika Makao Makuu ya ACT Wazalendo, Mgombea Urais wa Chama hicho, Luhaga Mpina amesema:
Vyombo vya Dola vitupe ulinzi tu, usitumie nguvu ya Dola kupata ushindi, kama Watanzania hawakutaki nenda nyumbani ukapumzike.
Vyombo vya Dola visitumike vibaya kwa kuwa...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema CCM haina ugomvi na aliyekuwa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, kwa kuwa Chama kikubwa hakiwezi kugombana na mtu binafsi.
Wasira alieleza hayo jana, wilayani Kisesa Mkoa wa Simiyu, alipokutana na viongozi na...
Kesi ya kupinga kuenguliwa kwa mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu (2025), iliyofunguliwa na Bodi ya Wadhamini wa chama hicho na Luhaga Mpina dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) na Tume Huru ya...
Wengine Walisema mwalimu Nyerere alitaka Salim Ahmed Salim ndio awe mrithi wake mwaka ule 11985 lakini Waunguja wakakataa
Ninachokiona kwa Mpina ni kukataliwa na Wahafidhina ndani ya ACT wazalendo wanaoamini katika “ project “
Kitambo sana 🐼😄
Chama cha ACT Wazalendo kimepinga kwa ukali hatua ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kumzuia mgombea wake wa urais, Luhaga Joelson Mpina, kurejesha fomu za uteuzi, kikieleza kuwa maamuzi hayo ni ‘ya aibu, kinyume cha Katiba na hatari kwa demokrasia ya nchi’.
Katika barua ya tarehe 27...
Wakuu.
Mambo yanaendelea kuwa mazuri.
Huyu hapa ni yule mdada aliyepinga Mpina kugombea Urais ACT Wazlendo. Anaitwa Ndala Monalisa. Leo akiwa kwenye interview Wasafi amejitokeza akisema kuwa hajatumwa na yeyote kupinga Mpina kugombea Urais ACT Wazalendo
Mgombea Urais kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Joelson Mpina, amewasili katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Tofauti na wagombea wengine wa vyama vingine, wengi wao wakifika na...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha ACT Wazalendo Luhaga Mpina, ameonekana kuunga mkono kampeni ya 'No reform No election' ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) huku akimponge mwenyewe wa chama hicho Tundu Antiphas Lissu.
Wagombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo, wamewasili mjini Unguja kwa ajili ya utambulisho kwa wanachama na wananchi wa kisiwa hicho.
Luhaga Mpina mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania na Othman Masoud anayewania urais...
Mkuu Maalum wa chama cha ACT Wazalendo kuwa mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama hicho kwa kupata kura 559 sawa na asilimia 92.3 ya kura 610 zilizopigwa.
Aidha aliyekuwa akigombea naye nafasi hiyo, Aaron Kalikawe Aaron amepata kura 46 sawa na asilimia 7.7 ya kura...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.