Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeridhishwa na kazi ya uimarishaji wa mpaka wa Kimataifa kati ya Tanzania na Kenya ambapo Km 564 sawa asilimia 75 tayari zimewekewa alama kati ya km 758 za mpaka mzima wa nchi kavu.
Akizungumza wakati wa ziara ya kamati hiyo eneo la...