HALI ya kisiasa jimboni Nzega Mjini kwa Waziri wa Kilimo, Mheshimiwa Hussein Bashe ni mbaya tofauti kutokana na kutokubalika na wananchi licha ya kutumia fedha nyingi kugawa kwa wajumbe na baadhi ya viongozi ili kumpigania ashinde kura za maoni.
Suala la uzawa nalo linamtesa wakikumbushia mambo...