mohammed kawaida

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 BAVICHA: CCM imekosa heshima kwa taasisi za dini kwa kumtumia, Kawaida asiye na upeo mpana kumjibu kiongozi wa juu wa TEC

    Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) limelipinga vikali kauli zilizotolewa na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa, Mohamed Ally Kawaida, dhidi ya Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Askofu Wolfgang Pisa, likisema kauli hizo zimejaa dharau, upotoshaji na kukosa...
  2. Waufukweni

    PreGE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohammed Kawaida awavaa Wanaharakati wa Kenya na Uganda adai jirani asiyekuwa na adabu havumiliki

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Mohammed Ali Kawaida, amepongeza msimamo thabiti wa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuweka wazi na kwa uwazi mkubwa kupinga jitihada zozote kutoka ndani au nje ya nchi zinazolenga kuchochea chuki na...
  3. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Mohammed Kawaida: Viongozi bora hawawezi kutoka nje ya CCM

    Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Mohammed Kawaida akizungumza na Wakazi wa Lugarawa - Ludewa Njombe. Sisi tumeshakaa mguu sawa kwenda uchaguzi wa mwaka 2025. Twendeni kwenye uchaguzi tukiwa katika hali ya amani, hali ya umoja kuchakua viongozi wetu watakao tuletea maendeleo na nyinyi mtakubalina na...
  4. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mohammed Kawaida: Sina mpango wa kugombea Ubunge kwani nataka nikitumikie chama changu cha CCM

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa Mohammed Kawaida amesema kwasasa hana mpango wowote wa kugombea Ubunge kwani anataka akitumikie Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread...
  5. Just Pray

    PreGE2025 Mohammed Kawaida azindua Hostel na fremu 73 ambazo ni vitega uchumi vya UVCCM

    Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohammed Ali Kawaida ametoa maagizo kwa Viongozi wa UVCCM Mikoa yote na Wilaya zote Tanzania kuwa na vitega uchumi ili kuondoa utegemezi. Kawaida ameyasema hayo jana March 24, 2025 Mkoani Singida alipofanya ziara ya kufungua vitega uchumi vya UVCCM ikiwemo fremu 73 za...
  6. W

    PreGE2025 Mohammed Kawaida: Upinzani haujajipanga kwa uchaguzi 2025

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Mohammed Ali Kawaida, amesema kuwa vyama vya upinzani havina maandalizi wala ushawishi wa kushindana na wagombea wa CCM katika uchaguzi mkuu wa 2025, akidai kuwa vinatafuta sababu za kujiondoa kwenye mchakato huo...
  7. J

    PreGE2025 Mohamed Kawaida: Ajenda ya mitano tena ni kwa Rais Samia na Rais Mwinyi tu. Vijana twende tukagombee

    Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) amewatoa hofu vijana ambao wanataka kuwania nafasi za udiwani, ubunge na uwakilishi kuwa wakae tayari kuwani nafasi hizo kwakuwa ajenda ya Mitano Tena ni kwa Mgombea wa Urais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu...
  8. Waufukweni

    PreGE2025 Mohammed Kawaida: Tunaomba mtuachie ACT Wazalendo tupambane nao

    Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Cde. Mohammed Ali Kawaida (MCC) ameomba Chama cha Mapinduzi (CCM) kiwakabidhi vijana hao kushughulika na chama cha upinzani Zanzibar (ACT - Wazalendo) ambao wamekuwa wakikejeli maendeleo makubwa ambayo yanafanyika katika Visiwa vya Zanzibar pia kukashifu viongozi na...
  9. Waufukweni

    PreGE2025 Kawaida amjibu Lema kuhusu 'boda boda ni kazi ya laana'

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mohammed Kawaida amemjibu aliyekuwa mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema akisema kazi ya usafirishaji abiria kwa kutumia bodaboda si laana, bali ni kazi iliyoajiri vijana wengi. Machi 2023 baada ya kurejea nchini akitokea...
  10. Waufukweni

    PreGE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohammed Kawaida: Uchunguzi ufanyike kufuatia vitendo vya utekaji na mauaji

    Mwenyekiti Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Mohammed Ali Kawaida (MCC) amesisitiza jeshi la polisi kuwa wafanye uchunguzi kufuatia vitendo vya mauaji na utekaji na pale wanapopata taarifa watoe kwa jamii ili wajue kinachoendelea. Mwenyekiti ameyasema hayo tarehe 04 desemba 2024 akitoa...
  11. Heparin

    PreGE2025 Mohammed Kawaida: Naipa Serikali miezi minne iwe imefungia Mtandao wa X

    ''Serikali wameomba tuwape muda ni sawa, lakini kwa muda ambao nimekadiria ili serikali iweze kufanya maamuzi, hili suala kweli wanataka kulichambua walione likoje nawapa miezi minne (4) huu ukiwa mwezi wa pili nimebakiza miezi miwili nisipoona wamechukua hatua nitatoka tena kupiga zogo''...
Back
Top Bottom