Anaandika Mohamed Kawaida kupitia Ukurasa wake wa Instagram
Waliohamasisha kuandamana wao hawakuonekana kwenye maandamano, sasa hivi wanatumia misiba ya watu waliowatoa muhanga kufanyia siasa na kupandikiza chuki. Tunahitaji kuacha kutumika kama zana za kisiasa na badala yake tuungane kama...
Akizungumza wakati akifunga kampeni katika Jimbo la Makunduchi ambapo Mkutano huo uLIfanyika katika uwanja wa Muungoni Mkoa wa Kusini Unguja, Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM Taifa Cde. Kawaida amewataka wananchi wa Makunduchi na Watanzania kwa ujumla kuendelea...
Ameandika Chawa wa CCM na Mwenyekiti umoja wa vijana wa UVCCM Mohamed Kawaida Kupitia ukurasa wake wa Instagram.
My take
Taifa lina kijana kama huyu ambaye uwezo wake wakufikiria umeishia hapa hakika mwisho wake sio mzuri.
"Inaelekea Polepole ameamua kuichezesha familia yake filamu...
Kwa siasa za Tanzania na mambo ambayo amekuwa akiyatolea taarifa polepole kwa nyakati tofauti tofauti lazima kuwepo kwa mashaka makubwa.
kwani huyu mtu amekuwa akilalamika kutafutwa kwa lengo la kumdhuru mara nyingi na watu ambao binafisi yeye hakusema ni vyombo vya dola, post kama ya mohamed...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mohamed Kawaida amesema kama kila Kiongozi akijiuzulu kwa misingi ya maumivu ya nafsi hakutokuwa na Uongozi wa Taasisi bali wa hisia huku akimwambia Humphrey Polepole aliyejiuzulu Ubalozi wa Cuba kwamba hisia za Mtu binafsi...
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Mohammed Ali Kawaida (MCC) amesema kuwa vyama 18 kati ya 19 vya siasa vimeridhia kushiriki Uchaguzi ifikapo Oktoba 2025 ambapo ametaka Chama Cha Mapinduzi kuwa miongoni mwa vyama hivyo
Aidha, ameongezea kwa kusema `sauti ya wengi ni sauti ya Mungu' huku akihusianisha...
Kupitia ukurasa wake wa instagram, Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Mohamed Kawaida ameandika
"Umeahidi wananchi umeshindwa kutekeleza, licha ya kuwa kura za maoni hukuongoza Chama kikaamuwa kukuamini ila leo umeshindwa kurudisha imani ya Chama na Wananchi na zikiwa zimebaki siku chache kwenda kwenye...
Kijana ana vimbwanga sana
===
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohammed Ali Kawaida (MCC) amehutubia maelfu ya Wananchi wa Halmashauri ya Msalala wilayani Kahama mkoa wa Shinyanga akiingia kwa staili ya pekee ya kutumia greda ambalo mara nyingi hutumika katika utengenezaji wa barabara.
Kawaida...
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohammed Ali Kawaida (MCC) amewahimiza wanachama wa CCM kudumisha umoja kuelekea Uchaguzi Mkuu na kuwakataa viongozi ambao wanawagawa na kuleta mpasuko kwa Wanachama.
Kawaida ameyasema hayo Mei 03, 2025 akihutubia maelfu ya Wakazi wa Wilaya ya Kahama katika mkutano wa...
Akiwa kwenye Mkutano wa hadhara, Wilaya ya Itilima Mkoa wa Simiyu, Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi UVCCM, Mohamed Kawaida ameapa kuwa hatorudi nyuma katika kuhamasisha vijana kujitokeza kwa wingi kuwania nafasi za Udiwani na Ubunge katika uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, licha...
Jamaani kilichonifurahisha hapo ni aina ya mapokezi yakiongozwa na usafiri pendwa kanda ya ziwa
Mapokezi ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mohamed Kawaida mkoani Geita.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana ya Chama Cha Mapinduzi UVCCM, Mohamed Kawaida ameeleza kuwa anazo taarifa za baadhi ya asasi za kiraia na vyama vya siasa vinavyowapeleka Vijana wa Kitanzania kwenye mafunzo nje ya nchi ili kuwaandaa kuja kuwa sababu ya machafuko na vurugu ndani ya nchi, akieleza...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Mohammed Ali Kawaida, amesema kuwa tarehe 26 Aprili 1964, wazee wetu walichanganya udongo kama ishara ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, hatua iliyozaliwa taifa moja la Tanzania.
Ameongeza kuwa vizazi...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana ya Chama Cha Mapinduzi UVCCM Taifa, CDE. Mohamed Kawaida amewataka Vijana nchini kutojiusisha na kuvuruga amani ya nchi tuliyonayo katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 2025.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa Mohammed Kawaida amesema kwasasa hana mpango wowote wa kugombea Ubunge kwani anataka akitumikie Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread...
✳️ KAWAIDA AWASIHI VIJANA WOTE KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) amewakaribisha vijana wote Tanzania katika Chama Cha Mapinduzi ili wapate nafasi ya kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 na Kuichaguwa CCM katika nafasi ya Urais, Ubunge na...
Mwenyekiti wa Umoja wa vijana CCM taifa (UVCCM), CDE Mohamed Kawaida amekiri kupokea malalamiko kutoka kwa vijana wa CHADEMA wakilalamikia kunyimwa haki ya kuchagua na chama chao kwa kitendo cha kugoma kutia saini kanuni za maadili ya uchaguzi.
"Chama chochote cha siasa ambacho hakifanyi...
Mwenyekiti wa UVCCM Mohammed Kawaida kupitia mtandao wa Instagram akijibu post ya Twaha Mwaipaya ambaye alichapisha video iliyorekodiwa katika eneo la Kiluvya Madukani jijini Dar es salaam ambapo inaonesha tukio la utekaji ambalo halikufanikiwa, Kawaida amesema
"Hii ni movie kama movie nyengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.