mohamed ali kawaida

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    GE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Taifa: Wanalipwa kuchochea vurugu, nchi yetu wameichoma moto

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Mohamed Ali Kawaida amevunja ukimya na kuzungumza kwa mara ya kwanza kuhusu matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea tarehe 29 na 30 Oktoba 2025, akisema kwa masikitiko kuwa vurugu hizo zimefanywa kwa kiasi kikubwa na vijana...
  2. PAYE

    GE2025 Kawaida: Video zilirekodiwa na nani, kama waliohamasisha maandamano hawakuwepo barabarani? Swali kwako

    Mwenyekiti wa UVCCM Taifa kupitia ukurasa wake wa Instagram anasema waliohamasisha maandamano hawakuwepo barabarani — lakini video zipo, sauti zipo, nyuso zipo. Kama si wao, ni nani aliyerekodi? Na kwa nini misiba ya waliokufa kwa risasi inageuzwa jukwaa la lawama badala ya tafakari ya Taifa?
  3. R

    GE2025 Mwenyekiti UVCCM Taifa Mohamed Kawaida: Tupeleke watu ambao hatutapata shida kuwanadi, historia ya chama chetu hatuwezi kupata shida kuomba kura

    Mwenyekiti Wa Jumuiya ya Umoja Wa Vijana Wa Chama Cha Mapinduzi Ccm Taifa Na Mjumbe Wa Kamati Kuu ya Ccm Taifa Ndg Mohamerd Kawaida Amesema Kuwa Chama cha Mapinduzi Kitaleta Wagombea Ambao wanauzika kwa Wananchi Ili Chama Hicho Kiweze Kushinda Kwa Kishindo Katika Uchaguzi Mkuu Ambao Unatarajia...
  4. Kipenzi Changu

    Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Mohammed Ali Kawaida, aachia comments kujadili suala la Humphrey Polepole

    Hawa watu wa CCM wamekuwa na "ujinga" wa kupost vitu halafu wanafunga comments.
  5. R

    PreGE2025 Mwenyikiti wa UVCCM Mohamed Ali Kawaida: Ushindi wa CCM ni sawa na Kifo

    Mwenyekiti wa UVCCM TAIFA Ndg. Mohammed Ali Kawaida amesema Chama Cha Mapinduzi ndio baba wa vyama vingine ambavyo ni sawa na watoto wadogo katika misingi ya kisiasa na kisera kwa maslahi ya nchi ya Tanzania na hivyo ushindi wa CCM katika Uchaguzi ni sawa na kifo; CCM lazima kishinde kwa sababu...
  6. J

    PreGE2025 Mohamed Ali Kawaida atoa maagizo kwa UVCCM ngazi ya mikoa na wilaya kuwa na vitega uchumi

    Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohammed Ali Kawaida (MCC) ametoa maagizo kwa Viongozi wa UVCCM mikoa yote na wilaya Tanzania kuwa na vitega uchumi ili kuondoa utegemezi. Kawaida ameyasema hayo leo tarehe 24 Machi 2025 mkoani Singida alipofanya ziara ya kufungua vitega uchumi vya UVCCM ikiwemo...
Back
Top Bottom