NIDA (Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa) ni chombo chenye wajibu wa kutoa huduma za utambuzi ambazo zinatambulika kitaifa na kimataifa. Chombo hiki hutoa vitambulisho kwa Watanzania na wageni wakaazi wa Tanzania na kutunza Daftari la Utambuzi kwa kengo la kuimarisha Usalama na Amani kiuchumi na...
andrew massawe
andrew wilson massawe
arnold kihaule
arnold kihaule nida
dickson maimu
esmaily hassan rumatila
james kaji
modestuskipilimba
uchaguzi 2025
viongozi nida
Mkurugenzi wa zamani wa taasisi ya usalama wa Taifa, Dr. Modestus Kipilimba amestaafu utumishi wa umma baada ya uwepo wake Namibia kama balozi kuhitimishwa rasmi na Rais Samia.
Kipilimba alihudumu kama mkurugenzi wa usalama wa Taifa kwa miaka mitatu chini ya utawala wa Rais Magufuli(2016-19)...
Hatimaye kwa mara ya kwanza ndani ya wiki mbili kiongozi wa Tanzania amezungumzia kuhusu afya ya Rais na kusema ni mzima tena anachapa kazi wala hana issue. Binafsi namtakia kila la kheri, huwa napenda kutazama hotuba za huyo mzee Magufuli maana akipewa mic na kuanza kusema huwa harembi wala...
Rais Magufuli amewateua Dkt. Modestus Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu, Robert Msalika Naibu Mkurugenzi Idara ya Usalama wa Taifa.
- Anaapaishwa leo mchana.
Alikuwa anafanya kazi NIDA kama Mkurugenzi mkuu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.