Habarini wadau wote wa humu.
Baada ya kusubiri kwa muda mrefu ili angalau wahusika waone hili tatizo,nimeona ni bora niwape taarifa maana naona bado watu wanaumia.
Kabla ya kuzuiliwa Daladala kutoka nje ya mkoa wa Dsm kuingia mjini kati kulikuwa hakuna tatizo la kutoka na Kurudi...