Utaanda kusaga nyama yako kama hivi baaada ya hapo chukua nyama yako ikaange ukichanganya hoho karoti pamoja na hoho ukiweza weka na pilipili
Baada ya hapo chukua mands zako na uzikate upate umbo la sambusa
Baada ya hapo anza kuzinga kwenye mafuta yalio pata moto
Mambo kama hivyo mlo wa...
Ulaji unaojali afya siyo tu huangazia aina ya virutubisho vinavyotumika, bali huzingatia pia mda sahihi wa ulaji wa vyakula.
Kwa kuwa usiku huwa ni muda wa kupumzika kwa watu wengi, mlo wa muda huu hupaswa kuendana na mfumo unaoongoza usingizi wa binadamu pamoja na kuruhusu mwili uweze...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.