mlipa kodi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chachu Ombara

    Balozi Sefue: Maafisa wa kodi wasionane uso kwa uso na mlipa kodi, ikiwa kuna umihimu yatengwe maeneo yenye uwazi na CCTV camera

    Mwenyekiti wa Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi Nchini, Balozi Ombeni Sefue ametoa pendekezo hilo la tume hiyo leo Tarehe 18 Machi, 2026 Ikulu Dar es Salaam wakati wa kukabidhi ripoti hiyo
  2. R

    Rostam Aziz alitakiwa kuwa ndiye mlipa Kodi mkubwa kuliko wote wa nchi hii, kwanini Sivyo?

    Salaam! Mtu huyu anatajwa kumiiliki biashara kubwa kubwa Tena akizipata tenda za mamilioni na mabiioni zenye faida kubwa. 1. Tunaambiwa kwenye almasi yumo. 2.Migodi ya dhahabu yumo, 3. Makaa ya mawe yumo. 4. Gesi yumo. 5. Utalii yumo na Royo tua. 6. Usafiri na usafirishaji yumo. 7. Umeme...
  3. ChoiceVariable

    Rais Samia: Wale Waliokuwa Wanatugawia Shilingi Shilingi Hazipo Tena,Watu Wote Walipe Kodi

    My Take Hakuna mjomba wa kukuletea maendeleo kila mmja awajinike kulipa Kodi "Juzi nilizindua Jengo la TRA ndani ya Mkoa huu (Simiyu) nikawasifia sana TRA ndani ya Mkoa huu kwa kufikia malengo ya ukusanyaji, sasa nirejee wito wangu kwamba wafanyabiashara wote kodi kwa maendeleo ya nchi yetu na...
  4. Ndagullachrles

    ALTEZZA TRAVEL YASHINDA TUZO YA MLIPA KODI BORA WILAYA YA HAI K'NJARO

    ALTEZZA TRAVEL MLIPA KODI BORA WILAYA YA HAI K'NJARO MOSSHI Kampuni ya wakala wa Utalii ya Altezza Travel imeshinda Tuzo ya mlipa Kodi bora kwa walipa Kodi kutoka wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro . Tuzo hizo zimetolewa wiki iliyopita Katika hafla fuoi ya kutunuku Tuzo kwa walipakodi bora...
  5. Dr Akili

    Kodi ya VAT ifumuliwe. It's a complex sales tax iliyojaa ujanja mwingi na upigaji. Itozwe kwenye source pekee as a sales tax na kusiwe na tax returns

    Ukweli ni kwamba kila mtanzania kuanzia akiwa tumboni mwa mama yake analipa kodi ya serikali bila yeye kujua kodi hiyo iko kwenye mfumo wa indirect taxation. Mfumo huu ni very friendly na hakuna mtu wa kuukwepa hata kama ni mtoto mchanga. Kodi hii iko kwenye kila bidhaa au huduma anayonunua...
  6. Suley2019

    Rais Samia: Risiti hazitoki mpaka kauli ya rais?

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshangazwa na tabia ya baadhi ya Wananchi kutodai au kutoa risiti kisa yeye Rais hajawaambia wafanye hivyo akisema huo ni wajibu ambao hauhitaji hadi Rais aseme. Akiongea leo October 04,2024 Ikulu Jijini Dar es salaam wakati akizindua Tume ya Rais ya...
  7. covid 19

    Hili swala la kukusanya kodi mbona kama tunajichanganya wenyewe kama nchi

    Hivi, najiuliza, inawezekanaje serikali yenye watumishi wengi na wenye taaluma za hali ya juu bado inashindwa kutatua tatizo la kwa nini Watanzania wengi hawalipi kodi? Hadi inafikia hatua rais kuunda tume maalum ya rais kwa ajili ya kutoa ushauri juu ya masuala ya kodi. Mimi si mtaalamu sana...
  8. Joshua Simon

    Naomba ufafanuzi kuhusu makato ya kodi

    Naomba kuelekezwa kama Kuna namna Mimi sielewi. Ni mara nyingi sana nikikata tiketi ya basi, unakuta kiwango kilichoandikwa pale ni tofauti na kile ulicholipa. Mfano, nilipanda basi kutoka Mpanda kwenda Dar, nauli ilikua 79,000 kwenye EFD receipt, lakini Mimi nililipa 75,000/= Kwa uelewa...
  9. BARD AI

    TRA: Vitu viwili duniani haviepukiki ni Kifo na kulipa Kodi

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imesema moja ya Wajibu wake ni kuendelea kuhamasisha ikiwemo kutoa Elimu ya Mlipakodi kwa Watanzania ili watambue thamani na Umuhimu wa Kufanya hivyo ikiwa ni kwa Maendeleo yao na Maslahi mapana kwa Taifa. Kauli hiyo imetolewa Jijini Dar es Salaam leo Agosti...
Back
Top Bottom