Jina lake ni Mtwa Mkwavinyika Munyigumba Mwamuyinga, mtoto wa Chifu Munyigumba. Ukitaka kumzungumzia wala usizunguke sana, sema tu Chifu Mkwawa inatosha.
Kwa nini aliitwa Mkwawa? Hilo linatokana na jina lake “Mkwavinyika” ambalo lilifupishwa na kutamkwa “Mkwava” lakini baadaye watu wakaona ni...