Habari waungwana mimi ni kijana mwenye umri 25. Natafuta kazi yoyote halali ili niweze kupata pesa ya kujikimu.
Nina Elimu ya kidato cha sita ila wazazi wangu wamekataa kata kunisomesha na kwa maana hiyo wanataka niendelee kuwatumikia kuwachungia ng'ombe nawakati mimi sina utayari huo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.