Wanawake zaidi ya 10,000 Mkoa wa Dodoma makundi mbalimbali wanatarajiwa kukutana na Rais Samia Suluhu Hassan Juni 8 mwaka huu katika mkutano utakaofanyika ukumbi wa Jakaya Kikwete.
Hayo yamesemwa leo Juni 6,2021 na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka wakati akizungumza na waandishi wa habari...