mkutano wa chadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mkutano wa chadema hakuna, pesa ama haikutosha au imeliwa.

    Nilijuwa tu ingekuwa hivi. https://www.youtube.com/live/WsIGb9vVMec?si=PlUY2O1nojL2QYr_
  2. JamiiForums Tanzania Hii ndio hali halisi ya Mkutano wa CHADEMA Sirali, Hakuna namna yoyote ya kudhibiti hiki Chama hata mkiteka na kuua

    Siandiki chochote, zaidi hangaika mwenyewe na. Picha UJUMBE: HATUTAKI MARIDHIANO NA SHETANI
  3. JamiiForums Tanzania Picha: Mkutano wa Chadema Karatu watu walikuwa wengi kama mchanga

  4. JamiiForums Tanzania SI KWELI CHADEMA wametumia Picha ya AI kuongeza idadi ya wafuasi kwenye mkutano wao Arusha?

  5. JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki Kirumba lazingirwa na Polisi kisa Mkutano wa CHADEMA, baadhi ya watu wamekamatwa

    Jeshi la Polisi limezingira Kanisa Katoliki Kirumba, Mwanza, ambapo CHADEMA Kanda ya Victoria walikusudia kuadhimisha Chadema Mashujaa Day katika ukumbi wa Kanisa hilo. Mpaka sasa watu kadhaa wamekamatwa, akiwemo Katibu wa Kanda hiyo, Zacharia Obad.
  6. JamiiForums Tanzania Ofisi za TLS zazingirwa na Polisi kuzuia mkutano wa CHADEMA

    Chadema walikuwa wameomba ukumbi pale kufanya mkutano wa kuwakumbuka mashujaa yote. Eneo lote limezingirwa na ‘Mapolisi’ === CHADEMA kupitia ukurasa wao wa X wameandika kuwa; "Jeshi la Polisi limezingira ofisi za @TanganyikaLaw na kufunga barabara zote za kuelekea katika ofisi hiyo na kuzuia...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Polisi kuzuia waandishi/vyombo vya habari kutekeleza majukumu yao Mkutano wa CHADEMA, Seashells Millennium ni kukandamiza sauti za upinzani

    Katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 nchini Tanzania, hali ya kisiasa imeendelea kuwa ya mashaka, hasa kwa upande wa vyama vya upinzani. Tukio la Jeshi la Polisi kuzingira hoteli ya Seashells Millennium, Dar na kuwaamuru waandishi wa habari kuondoka kwenye mkutano wa CHADEMA, limeibua...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Polisi yazuia Mkutano wa John Heche na Waandishi wa Habari uliokuwa ufanyike leo Juni 17, 2025

    Jeshi la Polisi limezuia kufanyika Mkutano wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche na waandishi wa habari ulokuwa ufanyike leo Juni 17, 2025 katika hotel ya Seashells Millennium Hotel, iliyopo Makumbusho Dar es salaam, kwa maelezo kwamba chama hicho kimezuiwa na Mahakama kufanya shughuli za...
  9. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Kituo cha Polisi Tabora amuomba radhi John Heche kutokana na vurugu zilizotokea kwenye mkutano wa CHADEMA

    Wakuu, Kumbe hata huko kwenye Jeshi La Polisi kuna watu bado wana uungwana? Huyu hata akifukuzwa kazi huko Polisi wananchi simameni mumchangie. Soma Pia: Mkutano wa Heche washambuliwa Igunga, Tabora Kafanya jambo la kitume sana https://www.youtube.com/watch?v=-n8I1q4rGHI
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla: CCM isihushishwe na vurugu zilizotokea Tabora kwenye mkutano wa CHADEMA

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi Itikadi na Uenezi, Amos Makalla amesema chama hicho hakihusiki kwa namna yoyote na vurugu zilizotokea hii leo katika mkutano wa hadhara wa CHADEMA uliokuwa ukifanyika Igunga, mkoani Tabora kama ilivyodaiwa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara...
  11. JamiiForums Tanzania Waliotaka kuvuruga mkutano wa Chadema Singida wadhibitiwa

    Vijana wanaodaiwa kutaka kuvuruga mkutano wa Chadema uliofanyika mjini Singida leo juni 9, 2025 wamedhibitiwa kabla ya kutekeleza walichokusudia.
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dodoma kumekucha, CHADEMA yatikisa ngome ya CCM. Mamia wamsindikiza John Heche wakiimba 'CCM wauaji'

    Dodoma imetikisika, ndivyo unavyoweza kusema. No reforms, no election inazidi kuchanja mbuga ambapo CHADEMA wamefanya mkutano wao jijini humo na kuhudhuriwa na Makumi ya Maelfu ya watu. Baada ya mkutano huo, wapenzi wa chama hicho wamemsindikiza Makamu Mwenyekiti wao, John Heche huku wakiimba...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi wafurika kufuatilia mkutano wa CHADEMA Arusha

    Wananchi wakiwa katika mkutano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) jijini Arusha leo Jumatano Mei 28, 2025. Chama hicho leo kimeanza operesheni ya No reforms, no election katika mikoa minne ya Kanda ya Kaskazini inayojumuisha mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, Tanga na Manyara kunadi...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Polisi Kahama wadaiwa kazuia maandalizi ya Mkutano wa CHADEMA, wadai eneo limebadilishwa

    Baada ya mvutano kati ya Polisi na CHADEMA, hatimaye imekubalika kuwa mkutano wa chama utafanyika katika eneo lililokusudiwa. Awali, Polisi walifika na kuzuia maandalizi yaliyokuwa yakiendelea kwa maelezo kwamba eneo hilo limebadilishwa, licha ya kuwa jukwaa na mfumo wa sauti (PA System)...
  15. JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi limezuia mkutano wa CHADEMA kariakoo likidai litavuruga biashara bila kuwa na malalamiko yoyote ya wafanye biashara wa eneo hilo

    Kitendo cha jeshi la polisi kuzuia CHADEMA kufanya mkutano kariakoo haukuwa wa haki na unatia wasi wasi dhidi ya mwenendo wa jeshi hilo katika kutekeleza wajibu wake. Jeshi limezui mkutano likidai litavuruga biashara bila kueleza ni vipi itavuruga biashara wala bila kuwepo kwa malalamiko yoyote...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche: Polisi waliotukamata wamezunguka na sisi kwenye magari yao kisha kututelekeza barabarani

    Anaandika Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA kupitia ukurasa wake wa X "Ninawashukuru Watanzania wote, kwa mshikamono wenu wa kupiga vita udikteta katika Nchi yetu.Polisi waliotukamata wamezunguka na sisi kwenye magari yao kisha kututelekeza barabarani.Kesho saa saba mchana baada ya kikao cha...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askari watawanya Watu mkutano wa CHADEMA Songea, mabomu ya machozi yarushwa, Polisi wawabeba Heche na Lema

    Tumeshambuliwa na mabomu ya machozi ofisi yetu ya CHAMA SONGEA na ktk eneo ambalo tunapaswa kufanya mkutano leo. It is too Sad I can not even speak. Press Conference Soon. ongezea hii kwenye stori yako JOHN HECHE NA LEMA WACHUKULIWA KWA MAHOJIANO NA POLISI Mkurugenzi wa Mawasiliano na...
  18. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hivi ndio tuseme Wahariri wanaamini Tanzania hakuna ‘Electoral fraud’?

    Nimejikuta nimemuonea huruma Tundu Lissu. Huruma ni sifa na silka ambazo binadamu hajifunzi. Nilistudy body language ya Lissu kabla na baada ya kupata reaction asiyotarajia kutoka kwa Wahariri. Wahariri wamemwangusha sana Lissu especially Deodatus Balile. Wahariri wa Tanzania sijui mnahariri...
  19. JamiiForums Tanzania Tetesi: CHADEMA chini ya Uongozi wa Lissu washindwa kuchangisha 180 million kwaajili ya uzinduzi wa mikutano nchi nzima

    Heshima wanajamvi. Baada Lissu kuchaguliwa Mwenyekiti Taifa na kuunda kamati kuu yake,waliweka maazimio ya kuchangisha 180,000,000 kwaajili ya kufanya mikutano Mikoa yote ya Tanganyika. Taarifa za uhakika mpaka leo wamekusanya kiasi cha Tshs. 1,920,000 ambazo zitaweza kufanya mkutano wa...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mkutano wa CHADEMA Mikocheni umezuiliwa ila chawa wamekata keki feri karibu kabisa na Ikulu, hii tunaiitaje?

    Wakuu, Polisi walivamia ofisi za CHADEMA mapema leo asubuhi na kuzuia mkutano huo kufanyika wakisema wataleta usumbufu wakati mkutano wa nishati unaendelea, na kwamba wanatakiwa kughairisha. Mkutano ambao ungekuwa na waandishi wa habari tu kurusha tukio hilo, tena mbali kabisa na Posta ambako...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…