Wakuu,
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), Anthony Kasore, amewakaribisha Watanzania kushiriki kilele cha maadhimisho ya miaka 30 ya VETA, yatakayofanyika kitaifa jijini Dar es Salaam kuanzia Machi 18 hadi Machi 21, 2025, katika Ukumbi wa Mikutano wa...