mkurugenzi tanesco

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Carlos The Jackal

    Kwa Uteuzi wa Lazaro Jacob Twange kuwa Mkurugenzi TANESCO, ni kithibitisho tosha cha ubovu wa mfumo wa vetting, mazoea, UCCM vinaliangamiza Taifa

    Huyu DC Kwa muda wake mwingi amefanya Shughuli za kisiasa , ukiachilia mbali Hilo, Taaluma yake na masuala ya Umeme ni Mbingu na Ardhi. Soma Pia: Uteuzi na Uhamisho: Razaro Twange aliyekuwa Mkuu wa Wilaya Ubungo ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji TANESCO Hiyo 9, 10 ni Uzoefu wa kuendesha...
  2. S

    Ingekuwa ya Ulaya, kampuni miliki ya gari iliyomuua mkurugenzi wa TANESCO, TBEA CO, sasa wangekuwa chini ya uchunguzi mzito wa rushwa; sio hapa kwetu

    Kwa wale mnaofanya kazi na mashirika ya kimataifa bila shaka mnajua sheria kali sana za Ulaya kuhusu rushwa, au dalili za kutoa rushwa au 10%, hasa kwenye mambo ya tenda. Ni wakali sana. Kwa kampuni za Ulaya hata kama ziko nchi kama Tanzania, ikionekana kuna kiashiria chochote cha rushwa kwenye...
  3. M

    Wabunge wana interest kubwa na Unfair election , Mkurugenzi TANESCO na Mpango wa Kugombea Jimbo la Bunda ulivyosemwa

    Naweza kusema katika inshu za uchaguzi mkuu, watu wakali zaidi na ambao sio wa kuchezewa ni wabunge ambao kimsingi wao hudhani Fikrani kuwa majimbo wanayoongoza ni Mali Binafsi kitu ambacho si cha kweli na mtu yeyote ambaye ataonekana kutaka jimbo hilo basi lolote limkute. Pia katika Uwizi...
  4. Cute Wife

    Kwanini Mkurugenzi wa TANESCO aliyefariki alitumia gari binafsi kazini badala ya ofisi? Kwanini waling'oa namba ya gari?

    Wakuu, Ajali iliyoenda na maisha ya Mkurugenzi Mtendaji TANESCO Gissima Hanga pamoja na dereva wake imeibua maswali mengi zaidi ya kile kilichosababisha ajali hiyo. Pia soma TANZIA - Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia Wananchi wamefukunyua na...
Back
Top Bottom