Mkuu wa mkoa wa Mbeya amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kutoa mkono wa Eid El Fitri kwa watoto wenye uhitaji maalum kwenye makao ya watoto 23 mkoani humo,
Bidhaa mbalimbali zimetolewa ikiwemo mchele, unga, mbuzi, mafuta ya kupikia na vinywaji...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi ametoa mkono wa Eid El Fitr kwa Wananchi wenye mahitaji Maalum wakiwemo Yatima, Wajane, Wazee na watu wenye ulemavu katika Viwanja vya Ikulu Zanzibar, tarehe 31 Machi 2025.
Aidha, Rais Dkt.Mwinyi baada ya kutoka...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa mkono wa heri kwa watoto katika vituo vya kulea watoto wenye mahitaji maalum na wanaoishi katika Mazingira magumu Mkoani hapa kwa kugawa Sadaka ya vyakula ikiwemo Mbuzi, Mchele, Mafuta ya kupikia, unga, sabuni za kuogea...
Ikiwa yamesalia masaa machache kuelekea sikukuu ya Eid Al- Fitri ikiashiria kutamatika kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani, Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa mkono wa Eid kwa vituo vyote vya kulelea Watoto mkoani Kagera hapo jana tarehe 29/03/2025.
Taarifa...
Wakuu,
Aloo, kila sehemu ni 'sadaka' tu, afu mwishoni unasikia Samia ametuhimiza tuwe na moyo safi... ni huzuni:BearLaugh::BearLaugh:
====
Mkuu wa wilaya ya Tanga Japhari Kubecha Kueleka Kumaliza mwezi Mtukufu wa Ramadhan Amefuturisha na Kutoa mkono wa Eid kwenye Vituo vya Watoto wenye...
Wakuu,
Viongozi wanachangamkia kuonekana wema si mchezo!
===
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amekabidhi Sadaka ya vyakula iliyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kwenye vituo mbalimbali vya makao ya watoto wenye uhitaji kwa ajili ya...
Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Mussa Kilakala, ametoa msaada wa vyakula vya futari na Eid kwa wafungwa wa Gereza la Wanawake Kingolwira na Gereza la Mahabusu Morogoro.
Akizungumza baada ya kupokea msaada huo, Mkuu wa Gereza la Wanawake Kingolwira, SP Atupelye Luwanja, alimshukuru DC Kilakala kwa...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) katika hatua ya kujali na kuthamini makundi maalumu katika jamii, imetoa msaada wa mahitaji ya kibinadamu katika kituo cha Makao ya Kulea Watoto Yatima, kilichopo mtaa wa Nzasa, Kata ya Kijitonyama Wilaya ya Ubungo.
Hatua hii ni...
Bismillah Rahman Raheem.
Mwenye kufahamu atujulishe ili labda kama zina neema yoyote basi tumuombee dua, ama kama ni vipeperushi vya ccm tuachane naye.
Wabhillah Tawfiq.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.